Travel $ Tourism contributed 8.8% to Kenya's GDP.

Hayo yote yanajulikana serikalini, unapoambiwa mapato yanayopatikana kutokana na utalii, yanajumlisha mapato yote yanayoletwa na utalii, kuanzia visa, na matumizi yote ambayo watalii Wanatumia kwa kipindi chote atakachokuwepo nchini, ndio sababu katika utalii kuna indicators kama
1)How long tourists stay in the country
2)How much a tourist spends per day in average.

Hapo ndio Kenya inaposhindwa na Tanzania. Sisi utalii wetu ni high value tourism, tunavutia watalii matajiri ambao wakifika nchini wanakaa muda mrefu na Wanatumia pesa nyingi kwa siku, ninyi Kenya mnalenga "mass tourism".

Sent using Jamii Forums mobile app

Mnavutia watalii watano tajiri, alafu unkuja kutangaza hapa.
99.999% of all tourists, Kenya ama Tanzania, ni middle class wa huko kwao.

Rich tourists visit Macau and Ibiza.

Na hii sio ripoti ya kwanza kuhusu contribution of tourism to Kenya's GDP.
Kulikuwa na ingine ya PWC, I think 2015, amabayo ilisema tourism contributes over $5 billion.
 
Hahahahahah, nearly all rich people in the world wameshatembelea Tanzania, not once. Kenya na Tanzania zinapata idadi sawa ya watalii, lakini Tanzania inapata pesa nyingi mara tatu zaidi ya Kenya, why?
1)Watalii wanakaa muda mrefu zaidi Tanzania
2)Watalii Wanatumia pesa nyingi kwa siku Tanzania
3)Yote mawili kwa pamoja

Haya yote anayejua vizuri ni CS Balala kuliko mtu mwengine yoyote huko Kenya, acha kupoteza nguvu nyingi kupingana na Ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtu ambaye hawezi fanya simple conversion hafai kuwa mitandaoni akitusi watu. Why are tanzanians soo stupid??

Ahaaa haaa haaa
Siku zote povu linatoka kwa dumb guys like you.
 
Mnavutia watalii watano tajiri, alafu unkuja kutangaza hapa.
99.999% of all tourists, Kenya ama Tanzania, ni middle class wa huko kwao.

Rich tourists visit Macau and Ibiza.

Na hii sio ripoti ya kwanza kuhusu contribution of tourism to Kenya's GDP.
Kulikuwa na ingine ya PWC, I think 2015, amabayo ilisema tourism contributes over $5 billion.
Tourism contributes 17% of Tz Gdp that is around 9.6bn USD..So whats your point?

Tanzania Tourism Sector Report 2015: Record Of Arrivals In 2014 - TanzaniaInvest
 
Indeed without Alshabaab kenya would probably be heading to 3-4M tourist. I am glad this year we finally reached 2.1M foreign tourists. Still a far cry from South Africa's 10M. We need to concentrate esp on attracting more tourists from Africa. And of course domestic tourism really help fill the gap during the lean off-peak seasons - and hoteliers need to realize this.

Anyway Balala always seem to deliver in Tourism. I hope he stays there longer.
 
Hahahahahah, nearly all rich people in the world wameshatembelea Tanzania, not once. Kenya na Tanzania zinapata idadi sawa ya watalii, lakini Tanzania inapata pesa nyingi mara tatu zaidi ya Kenya, why?
1)Watalii wanakaa muda mrefu zaidi Tanzania
2)Watalii Wanatumia pesa nyingi kwa siku Tanzania
3)Yote mawili kwa pamoja

Haya yote anayejua vizuri ni CS Balala kuliko mtu mwengine yoyote huko Kenya, acha kupoteza nguvu nyingi kupingana na Ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app

"Nearly all rich people"..
Unless we have 10 rich people in the world.

Majority of tourists in Tanzania are taxi drivers, nurses and office workers. And Kenyans.
 
Hahahahahah, nearly all rich people in the world wameshatembelea Tanzania, not once. Kenya na Tanzania zinapata idadi sawa ya watalii, lakini Tanzania inapata pesa nyingi mara tatu zaidi ya Kenya, why?
1)Watalii wanakaa muda mrefu zaidi Tanzania
2)Watalii Wanatumia pesa nyingi kwa siku Tanzania
3)Yote mawili kwa pamoja

Haya yote anayejua vizuri ni CS Balala kuliko mtu mwengine yoyote huko Kenya, acha kupoteza nguvu nyingi kupingana na Ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wao abiria wote wanaotua na KQ JKIA wanawahesabu kama ni watalii hata wanaotoka Mogadishu ndio maana wanadai kuongoza kwa watalii

Kwa mantiki hiyo Ethiopia ingeongoza kwa watalii Africa, sababu Ethiopian airlines inaleta abiria wengi wanaoconnect kwenda destinations nyingi Africa kuliko airline yoyote Africa

Sisi hatuna airline inayoenda kwenye sources za tourists wetu lakini tunapokea watalii wengi na mapato mengi kuliko Kenya ambayo ina KQ yenye overseas routes nyingi, hapo ndio ule msemo wa kizuri chajiuza kibaya chajitembeza unatimia.

Saivi Tanzania itaanza kupokea watalii zaidi ya 300 kila week kutoka China na soon AirTanzania inaruka China, hapo ile vision ya JPM ndio itaeleweka zaidi, 2019 / 2020 receipts za utalii zitafika 3$B bila wasiwasi.
 
Hivyo ndivyo wanamdanganya huko CCM?
Kenya we count real tourists.

Hii ndio ripoti ya PWC.

Hotel room revenue 2017
Kenya - 5.4 billion rand
Tanzania - 2.5 billion rand

Hotel room guests 2017
Kenya - 3.3 million
Tanzania - 1.5 million

Total Hotel rooms 2017
Kenya - 19,100
Tanzania - 7,700

hotel1.JPG

hotel2.JPG

hotel3.JPG
 
Hahahahahah, nearly all rich people in the world wameshatembelea Tanzania, not once. Kenya na Tanzania zinapata idadi sawa ya watalii, lakini Tanzania inapata pesa nyingi mara tatu zaidi ya Kenya, why?
1)Watalii wanakaa muda mrefu zaidi Tanzania
2)Watalii Wanatumia pesa nyingi kwa siku Tanzania
3)Yote mawili kwa pamoja

Haya yote anayejua vizuri ni CS Balala kuliko mtu mwengine yoyote huko Kenya, acha kupoteza nguvu nyingi kupingana na Ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
That is an old tired lazy kind of comment....
 
Ahaaa haaa haaa
Siku zote povu linatoka kwa dumb guys like you.
wewe hata hufai kuwa kwa hii mada, contribution yako ni ushabiki wa upuuzi tu. Ulikuwa unamshabikia mwenzako aliye kosea hesabu kumaanisha wewe ni kilaza tu hauna lolote.
 
You have much more tourists than Kenya, but the difference in contribution in $ is not that great.
Tourists contribute more individually to Kenya.
In other words Tz beats kenya in
1) Direct revenues $2.4bn vs $1.2bn
2) Contribution to GDP $9.6 vs $7.9bn
3) Tz actually has less tourists than kenya - (1.2m vs 2m) But those that go to Tz spend more(Direct revenues) and Contribute More to Gdp.
You are using alot of energy to prove your ignoranance😂😂😂
 
Hivyo ndivyo wanamdanganya huko CCM?
Kenya we count real tourists.

Hii ndio ripoti ya PWC.

Hotel room revenue 2017
Kenya - 5.4 billion rand
Tanzania - 2.5 billion rand

Hotel room guests 2017
Kenya - 3.3 million
Tanzania - 1.5 million

Total Hotel rooms 2017
Kenya - 19,100
Tanzania - 7,700

View attachment 1045352
View attachment 1045353
View attachment 1045354
Kutumia hotel rooms kama ndio justification ya tourists revenues ni blatantly wrong hakuna nchi duniani ambayo watalii wanapita wenyeji kwenye matumizi ya hotels

Mbuga zote Tanzania watalii wa kitanzania ni wengi kuliko watalii wa nje so even by counting gates passes bado utakua wrong, njia sahihi ni kutumia statistics za mamlaka husika na idadi ya wageni toka nje moja kwa moja

Using hotel beds statistics is the most lamest way to counter this topic, come again
 
now I can truly conclude that you are an IDIOT!!
 
Indeed without Alshabaab kenya would probably be heading to 3-4M tourist. I am glad this year we finally reached 2.1M foreign tourists. Still a far cry from South Africa's 10M. We need to concentrate esp on attracting more tourists from Africa. And of course domestic tourism really help fill the gap during the lean off-peak seasons - and hoteliers need to realize this.

Anyway Balala always seem to deliver in Tourism. I hope he stays there longer.
Balala is a failure, how can 2.1m tourists contribute only ksh 790bn while 1.2m tourists in Tz contribute an equivalent of ksh 960 to Tz GDP?
To make matters worse, 2.1m tourists in kenya generate a revenue of only $1.2b while in tanzania. Just 1m tourists are generating double that($2.4b)
Jubilee celebrates mediocrity
 
Back
Top Bottom