kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Hayo yote yanajulikana serikalini, unapoambiwa mapato yanayopatikana kutokana na utalii, yanajumlisha mapato yote yanayoletwa na utalii, kuanzia visa, na matumizi yote ambayo watalii Wanatumia kwa kipindi chote atakachokuwepo nchini, ndio sababu katika utalii kuna indicators kama
1)How long tourists stay in the country
2)How much a tourist spends per day in average.
Hapo ndio Kenya inaposhindwa na Tanzania. Sisi utalii wetu ni high value tourism, tunavutia watalii matajiri ambao wakifika nchini wanakaa muda mrefu na Wanatumia pesa nyingi kwa siku, ninyi Kenya mnalenga "mass tourism".
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnavutia watalii watano tajiri, alafu unkuja kutangaza hapa.
99.999% of all tourists, Kenya ama Tanzania, ni middle class wa huko kwao.
Rich tourists visit Macau and Ibiza.
Na hii sio ripoti ya kwanza kuhusu contribution of tourism to Kenya's GDP.
Kulikuwa na ingine ya PWC, I think 2015, amabayo ilisema tourism contributes over $5 billion.