Tanzania Railways Corp
Govt Institution
- Mar 23, 2018
- 292
- 690
Abiria waliopanda SGR (Juni 2024 -Machi 2026) ni 5,512,995.
Mngeambatanisha na ripoti ya CAG ili tulinganishe kama hayo mafanikio yenu yana uhalisia.
Lini mnafika Mwanza?
TRC kama TRC inapata hasara. SGR kama SGR haipati hasara.Mimi nitayaamini haya mafanikio yenu kama mtaambatanisha na ripoti ya CAG iliyotoka siku chache zilizopita kuhusu hili shirika lenu.
Mkuu SGR labda itokee dharura,ila katika hali ya kawaida wanajitahidu sana kwenda na muda.Kuna shirika la reli huko Japan liliwahi kuomba radhi kwa kuchelewa kwa sekunde, tuje kwenu sasa wenye viwango vya kimataifa 😂