TRC: Abiria waliopanda SGR kati ya Juni 2024 – Machi 2026 ni 5,512,995

Kuna shirika la reli huko Japan liliwahi kuomba radhi kwa kuchelewa kwa sekunde, tuje kwenu sasa wenye viwango vya kimataifa 😂
 
Daah, kichwa Cha taarifa kinasema mafanikio lakini maudhui yameeleza tu idadi ya abiria waliosafiri ktk kipindi tajwa. Hili ni fanikio na siyo mafanikio.
Hata hivyo kujua kama hili ni fanikio mlitakiwa kueleza lengo lilikuwa kusafirisha abiria wangapi ili kulinganisha na walisafirishwa.
Mwisho, nasikia kupata ticket ya abiria. Ili kusafiri na hiyo SGR Kuna usumbufu sana. Je, ni kweli?
 
Mimi nitayaamini haya mafanikio yenu kama mtaambatanisha na ripoti ya CAG iliyotoka siku chache zilizopita kuhusu hili shirika lenu.
TRC kama TRC inapata hasara. SGR kama SGR haipati hasara.
 
Kuna shirika la reli huko Japan liliwahi kuomba radhi kwa kuchelewa kwa sekunde, tuje kwenu sasa wenye viwango vya kimataifa 😂
Mkuu SGR labda itokee dharura,ila katika hali ya kawaida wanajitahidu sana kwenda na muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…