Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
"MABASI; kwa upande wenu wenye makampuni nawashauri Starting Point yenu badala Dar Es Salaam, sasa ianzie Morogoro, hii ni kwa basi zinazokwenda mikoa ya kanda ya kati, kanda ya ziwa, magharibi nk.Tatizo utoto nao unachangia akili kuwaza maziwa tu!.
Umesoma wapi nimeandika 'mabasi yote lazima yaanzie' au hujui maana ya 'ushauri' na nani kakwambia usafiri wa Dar - Moro kwa njia ya bus hautakuwepo?.
Hapo mtakuwa mmesave muda na pesa kwa kipande cha Dar - Moro, 4hrs ni muda mrefu sana kwa basi hivyo abilia wenu mkiwachukulia Moro mkasonga mbele hapo"! Haya ni maoni yako si yangu.
Kwa kifupi zile saa nne kusafiri kati ya Dar na Moro hazitakuwepo kwa sababu mabasi " starting point" itakuwa Morogoro! Sijaona ulipoandika "starting point" itakuwa Dar.
Ninakuuliza tena uko baa gani nije tulijadili hili?