TRC, Chukueni Ushauri Huu na Wenye Mabasi someni hapa

TRC, Chukueni Ushauri Huu na Wenye Mabasi someni hapa

nikuongezea tu mabasi yanatakiwa kuweka ushirikiano na TRC yaani wanashuka tu wanawachukua palepale stand ya sgr moro..
Miaka ya kale ilikuwa hivyo na huo ndiyo ulikuwa mfumo wa usafiri, kuna kuwa ma mabasi kwenye station kubwa -KAMATA.

Baadhi hawawezi kuelewa hii kitu ila kwa usumbufu uliopo kati ya Dar na Morogoro ni mkubwa sana.
 
hamjamuelewa hajamaanisha mabasi yote ya njia ya kati yeye ameshauri tu na hakika naamini kuna bus zitafanya hivi..
Mkuu kuna watu akili zimelala humu, hawaelewi kitu, mfano muda na garama.

Dar - Moro kwa basi 4hrs na train 2hrs, hapo umeokoa vitu vingapi?.
 
In facts, kajamaa kameshauri ujinga. Kea hiyo train ikifika Dodoma tena mabasi yawe yanaanzia Dodoma?
Kijana muachage ujinga, akili zenu bado zimelala, Dar to Dodoma by SGR ni 3hrs na by bus 8hrs njoo sasa...

Ukipanda train asubuhi unafika Dodoma asubuhi na ukishuka unakutana na mabasi ya mwanza unaondoka asubuhi hiyo hiyo na unafika mwanza mapema.

No.2 ukiondoka kwa bus Dar unafika dodoma hadi saa 1600hrs, nadhani kama ni msafiri utakuwa unaelewa.

Hapa tunazungumzia muda!.
 
Back
Top Bottom