TRC: Kulitokea hujuma katika Treni ya Mchongoko, baadhi ya waliohusika wamekamatwa

Huyo/hao Wahujumu wenyewe mkiwajua mtawamudu au mtaishia tu kumuuliza "Mkuu hata wewe?".
 
Hiii nchi imejaaa waongo na wapiga propaganda
 
Nilisema toka awali, Aboud na Shabibby washughulikiwe mapema, vinginevyo watatusa sana nchi hii. Route mbona zipo nyingi tu zina uhaba wa mabasi, si wapeleke huko?
Wamejisahau kwa upande wa Imani pia, kuwa riziki anatoa Mungu
Na kama hilo wameacha pia basi wajue duniani mambo hubadilika kwa maslahi ya nchi
 
Hao waliokamwatwa tutansubiri kuwaona wakipelekwa mahakamani .
 
Nilisema toka awali, Aboud na Shabibby washughulikiwe mapema, vinginevyo watatusa sana nchi hii. Route mbona zipo nyingi tu zina uhaba wa mabasi, si wapeleke huko?
Avoid naming people for severe accusations ambazo huwezi kutolea ushahidi.
 
Uongo huo.

Majina Yao yako wapi??????

Wahujumu reli kwa maslahi Gani?????
 
Avoid naming people for severe accusations ambazo huwezi kutolea ushahidi.
Nini wewe, wachunguzwe hao.., hivi unanunuaje mabasi mapya 200 just a few weeks kabla ya kuanza SGR kwenye route hiyo hiyo ya kwake? Means alishajipanga..
 
Hii nchi ni kituko sana 😃😃
Kukaa kimya kwa muda mrefu kunapelekea watu kutangulia kutoa Taarifa halafu inaonekana huo muda wa ukimya ndo wao TRC - EMU walikuwa wakisugua vichwa na kujitafutia visababishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…