TRC: Kulitokea hujuma katika Treni ya Mchongoko, baadhi ya waliohusika wamekamatwa

TRC: Kulitokea hujuma katika Treni ya Mchongoko, baadhi ya waliohusika wamekamatwa

Wote waliohusika kununua hayo madude mabovu ndio wanatakiwa kukamatwa ,acheni kusumbua raia wema .
Mfanye ufisadi wenu mnunue matreni mabovu muanze kuhangaisha raia
 
Mbona wale wapenda sifa "Kina Murilo" hatujawaona kwenye ITV? Ni vema Jamii iwajue waonyeshwe na tujue hadi ndugu zao kuwa Hawa wanahujumu miundo mbinu ya train, na walitaka kutuulia ndugu zetu. Tudeal nao, maana asiyefunzwa na wazazi wake Jamii inawajibu wa kumnyoosha.
 
Kwa Nini hawawataji walifanya hujuma?Au wanatudanganya?
 
Kuna mtu ninamheshimu sanabtu, mstaafu na heshima zake. Anasema tunaonewa wivu na nchi nyingi. Hii ni vita haswa ya kiuchumi.

Nikamuangalia nikasononeka sana....kwamba tunaonewa wivu na nani? Burundi. Au Zambia?
 
Bundi na ngedere wamefunguliwa mashitaka sasa?
 
Back
Top Bottom