Mbona wale wapenda sifa "Kina Murilo" hatujawaona kwenye ITV? Ni vema Jamii iwajue waonyeshwe na tujue hadi ndugu zao kuwa Hawa wanahujumu miundo mbinu ya train, na walitaka kutuulia ndugu zetu. Tudeal nao, maana asiyefunzwa na wazazi wake Jamii inawajibu wa kumnyoosha.