Wamewawemea mtego waenda kazikazini mfe. Pandeni mabasiNinavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani.
Sasa kwenu nyie shirika la reli TRC ya ndg kadogosa sijui nani anawakagua mwanzo, katikati ya safari au mwisho...
Heeee ilitakiwa Mkurugenzi ajiuzulu ASAP hii kitu ni hatari kwa watumiaji wa treni no way huu ni uzembe mkubwa sanaNinavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani.
Sasa kwenu nyie shirika la reli TRC ya ndg kadogosa sijui nani anawakagua mwanzo, katikati ya safari au mwisho...
Mkuu acha uchochezi wewee. Mungu yupo!Ninavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani...
Haya Mabehewa sio mapya wasitudanganye.Hawa watu wanafanya masihara
Ova
Vitu vya kifala sana hivi..halafu mamlaka kimyaaaa..Ninavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani...
Naomba kazi ya ukonda wa SGR.Naahidi kutembea na kigogo ili kuzuia "tereni" isikwame "bureki"!ππππNinavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani...
Ninavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani...
Likipata ajali tutaunda tume na kulipana posho zinazotoa jashoNinavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani...