Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Waafrica tunasikitisha sanaNinavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani.
Sasa kwenu nyie shirika la reli TRC ya ndg kadogosa sijui nani anawakagua mwanzo, katikati ya safari au mwisho.
Pichani ni treni mnaita deluxe inayotoka Dar Es Salaam kwenda Arusha na hizo namba ni mabehewa yenye hizo kasoro.
View attachment 2447266View attachment 2447267
Hii hapa chini ndiyo sijui wataalam wa wanasemaje kama break zikiwa katika hali hiyo, je treni inaweza kufanya kazi miezi mingapi na hakuna shida?
View attachment 2447268View attachment 2447270
Nawasilisha.
NB: Ndugu Kadogosa TRC natoa ushauri, kuna hizo behewa nasikia mnasema mpya wakati BiM Dr, SSH alisema tunaagiza kwanza used na mapya yatakuja mwakani.
Katika hizo mpya tunaomba route moja itakayokuwa ni Express kutoka Dar, Moshi na Arusha, badala ya masaa 20 Dar to Arusha itumie masaa machache as 8 au 10 kwa kutosimama vile vituo vidogovidogo.
Kupata vichekesho vingi kama hivi huwa mnabonyeza ngapi?Mkuu acha uchochezi wewee. Mungu yupo!
Ana mganga matata sana.Heeee ilitakiwa Mkurugenzi ajiuzulu ASAP hii kitu ni hatari kwa watumiaji wa treni no way huu ni uzembe mkubwa sana
Atakua Tanzania Railways CorpKuna mtu kaloga picha zisifunguke