DOKEZO TRC, mtanitafuta kwa uchochezi au Mkurugenzi Mkuu Kadogosa utanishukuru mimi na JF? Treni imefungwa kwa waya!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ninavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani.

Sasa kwenu nyie shirika la reli TRC ya ndg kadogosa sijui nani anawakagua mwanzo, katikati ya safari au mwisho...
Nlkuwa nina hamu ya kupanda ayo matren lakini nlivoona ivo nmeishiwa na nguvu kabsaa 🙆🏻‍♂️🤕
 
Kama bolt ziliisha ghafla, na hadi ziagizwe, mlitaka tufanye nini nje ya kukandamiza na steel wire, HAKIKAA NYIE NI WAZEMBE WA AKILI.
 
Ninavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani.

Sasa kwenu nyie shirika la reli TRC ya ndg Kadogosa sijui nani anawakagua mwanzo, katikati ya safari au mwisho.

Pichani ni treni mnaita deluxe inayotoka Dar Es Salaam kwenda Arusha na hizo namba ni mabehewa yenye hizo kasoro.
View attachment 2447266View attachment 2447267

Hii hapa chini ndiyo sijui wataalam wa wanasemaje kama break zikiwa katika hali hiyo, je treni inaweza kufanya kazi miezi mingapi na hakuna shida?
View attachment 2447268View attachment 2447270

Nawasilisha.
Rais mpumbavu usababisha mambo kwenda kipumbavu pia
 
So rais ndio kafunga hizo waya???au kawatuma kufunga hizo waya??acha kudhihaki na kutumia lugha ya matusi kwa mtu au taasisi ....Kama huna cha kuandika ni bora kuwa msomaji.
Kama hajawatuma atawawajibisha ...swali lako ni lakipumbavu ni sawa sawa na polisi kukataa kukamata majambazi eti kwa hoja kuwa hakuwatuma kuwa majambazi
 
Heshimu hicho kiti ndugu. Japo maisha ya watumiaji wa chombo hicho ni muhimu,kuna wahusika ambao kwa taarifa hiyo leo hadi ifike jioni hawatakuwa na kazi.
Mbona jpm mnamkashifu kwani yeye hakuwa rais ..kiti siyo tatizo wala kiti cha uraisi siyo tatizo kwa kuwa mpumbavu ni mtu siyo kiti ....tumia akili wewe zuzu acha kunya akili na kubakisha mavii kichwani
 
Ninavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani.

Sasa kwenu nyie shirika la reli TRC ya ndg Kadogosa sijui nani anawakagua mwanzo, katikati ya safari au mwisho.

Pichani ni treni mnaita deluxe inayotoka Dar Es Salaam kwenda Arusha na hizo namba ni mabehewa yenye hizo kasoro.
View attachment 2447266View attachment 2447267

Hii hapa chini ndiyo sijui wataalam wa wanasemaje kama break zikiwa katika hali hiyo, je treni inaweza kufanya kazi miezi mingapi na hakuna shida?
View attachment 2447268View attachment 2447270

Nawasilisha.
Hivi huwa unamwabudu Mungu kweli mbona ha ni mabehewa ya mizigo ya zamani sana
 
wenzio wako bize na ccm kuja kushinda uchaguzi 2025.
Pambaneni wenyewe
 
Hizo inaonesha ni breki, sasa sijui wanategemea itasimama kwa breki wa mabehewa mengine!? 🤔
Hiyo break shoe inaonekana kuisha, bado wameifunga kwa nyaya sijui kama wamepiga mahesabu ya kani, msuguano na mengine au waya wamekadiria tu.

Na hilo ndio umeliona wewe uaikute moja ya matatizo haya yapo karibia kwenye kila behewa.
 
Ninavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani.

Sasa kwenu nyie shirika la reli TRC ya ndg Kadogosa sijui nani anawakagua mwanzo, katikati ya safari au mwisho.

Pichani ni treni mnaita deluxe inayotoka Dar Es Salaam kwenda Arusha na hizo namba ni mabehewa yenye hizo kasoro.
View attachment 2447266View attachment 2447267

Hii hapa chini ndiyo sijui wataalam wa wanasemaje kama break zikiwa katika hali hiyo, je treni inaweza kufanya kazi miezi mingapi na hakuna shida?
View attachment 2447268View attachment 2447270

Nawasilisha.
Watasema umefanya makaretii ya picha. Hongera kwa kufichua.
 
Back
Top Bottom