TRC: Seti ya Kwanza ya Treni ya Kisasa ya EMU, Vichwa Vitano vya Umeme na Mabehewa Matatu ya Abiria imewasili

TRC: Seti ya Kwanza ya Treni ya Kisasa ya EMU, Vichwa Vitano vya Umeme na Mabehewa Matatu ya Abiria imewasili

Kwani nani alikwambia hii ni "high speed train"?
Zama hizi unatumia trilions of money kutengeneza treni isiyokuwa high speed??😳

Ni sawa na kutumia milioni kununua router ya 3G wakati dunia ipo 6G. Ni matumizi mabaya ya fedha
 
Screenshot_20240405_010723_Samsung Internet.jpg


Treniii.png.jpg



Mimi sielewi lengo ni kutudangannya au kutuchanganya!!

Kichwa kimeonekana kimoja na mabehewa 6
 
China walizindua sgr Yao inayotembea 400km/h, Morocco 300km/h lakini kwetu Tanzania mmetuletea guta ambalo hata kukamilika kwake ni mtihani.Toka 2017 mradi haukamiliki tu.kazi kutuonesha pichapicha tu.
 
Mbona ina kichwa kama cha koboko au inaakisi utajiri wa koboko tulio nao kwenye misitu yetu hivyo kuwashawishi watalii waje kuwaona vyoboko wetu
 
Nadhani kilikuwa cha majaribio tu, sema binadamu ni wazushi sana, walikuzusha hata mimi nikawaamini, ila ukweli ndio umedhihirika nimeona kwa macho yangu mwenyewe, kitu mchongoko kama nyoka, tuwasamehewe tu.
Yote hayo yanasababishwa na serikali yenyewe. Haijui kutoa maelezo watu wakaelewa wao wanashusha ma mizigo tu bila ufafanuzi. Ingawa na sisi CHADEMA tukiongozwa na Mudude tunajishushia heshima sana. Hongera nyingi sana kwa mwamba Rais Chuma kwa maamuzi magumu!
 
Kwani nani alikwambia hii ni "high speed train"?
Kwani wewe ulikuwa wapi wakati CCM wanafanya promotion ya hiyo SGR? Tuliambiwa chai tutakuwa Mwanza au Dar chakula cha mchana tutakuwa Dar au Mwanza!
 
Mmmmmhh 500km/h yaan dar to shinyanga kwa dakika 60 au.....huyu mama akifanikiwa hz kitu zikafanya kazi na bei ikawa kama ile ya mabus au chini kidogo afu kwa spid hata ya 130km/h atakuwa kafanikiwa sana. Cha muhim ahakikishe sgr na bwawa la Mwal. nyerere yanafanya kazi kwa ubora hasa.
Mpendekezo ya nauli ya Trc kwenda latra ni sh 20000 plus kwa dar moro, tayari ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom