MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Zama hizi unatumia trilions of money kutengeneza treni isiyokuwa high speed??π³Kwani nani alikwambia hii ni "high speed train"?
Yote hayo yanasababishwa na serikali yenyewe. Haijui kutoa maelezo watu wakaelewa wao wanashusha ma mizigo tu bila ufafanuzi. Ingawa na sisi CHADEMA tukiongozwa na Mudude tunajishushia heshima sana. Hongera nyingi sana kwa mwamba Rais Chuma kwa maamuzi magumu!Nadhani kilikuwa cha majaribio tu, sema binadamu ni wazushi sana, walikuzusha hata mimi nikawaamini, ila ukweli ndio umedhihirika nimeona kwa macho yangu mwenyewe, kitu mchongoko kama nyoka, tuwasamehewe tu.
Kwani wewe ulikuwa wapi wakati CCM wanafanya promotion ya hiyo SGR? Tuliambiwa chai tutakuwa Mwanza au Dar chakula cha mchana tutakuwa Dar au Mwanza!Kwani nani alikwambia hii ni "high speed train"?
Wacha uongo.Kwani wewe ulikuwa wapi wakati CCM wanafanya promotion ya hiyo SGR? Tuliambiwa chai tutakuwa Mwanza au Dar chakula cha mchana tutakuwa Dar au Mwanza!
Mpendekezo ya nauli ya Trc kwenda latra ni sh 20000 plus kwa dar moro, tayari ni kubwa sanaMmmmmhh 500km/h yaan dar to shinyanga kwa dakika 60 au.....huyu mama akifanikiwa hz kitu zikafanya kazi na bei ikawa kama ile ya mabus au chini kidogo afu kwa spid hata ya 130km/h atakuwa kafanikiwa sana. Cha muhim ahakikishe sgr na bwawa la Mwal. nyerere yanafanya kazi kwa ubora hasa.
MK254Haya mmeletewa mchongoko
Huo hapo
Ova
Wewe bibi kuwa na heshima!ππWacha uongo.
Wewe bibi kuwa na heshima!ππ