bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
- Thread starter
- #21
True, nadhani pia huweka uncenneccary nyingi ili wapige, wana design bila kujua tabia za watumiaji check mfano daraja miguu la mbezi stand to Maghufuli aina ile ya madaraja huwa inawekwa kwenye maeneo ambayo ardhi imeinuka barabara ipo chini mfano wa lile la miguu la kawe mbeziTatizo Siyo wabinafsi kama unayofikiria, tatizo ni kuwa Wana upeo mfupi kuhusiana na masuala haya ya Mipango-miji na Maendeleo ya Ujenzi wa Miundombinu Bora ya Usafiri wa Treni, a Short-sighted mind people. Hapo ndipo upeo wao wa kufikiri ulipoishia. Aidha, kukosa exposure ya duniani ni tatizo lingine pia wanalokabiliwa nalo hao wenzetu.
Hapakuwepo na ulazima wa kuweka daraja la juu pale ilitakiwa karavati box gari zipite juu watu wapite chini ili kusave time ya kuvuka upande wa pili kwa makundi yote ya watu mazingira Yanaruhusu pale pameinuka athari za maji ni ndogo.
Na ndio uchafu huo huo walioufanya madaraja tuta ya uhasibu na chang'ombe yanachafua sura ya mji hakuna gharama walizoepuka kama wangeweka nguzo badala ya tuta.