TRC SGR wasirudie makosa ya ujenzi waliyofanya Dar kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora nk

TRC SGR wasirudie makosa ya ujenzi waliyofanya Dar kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora nk

Pana wazee wanashindwa kupanda madaraja pana watu wana allergies na madaraja hawawezi panda juu kwa sababu ya kizunguzungu wakiangalia chini
 
Wameua biashara zote toka gerezani hadi Pugu,gongo la mboto ndio mbaya zaidi hakuna pa kuvuka.
Tusubirie msimu wa mvua malalamiko ya maji kujaa kwenye majumba ya watu,unajengaje daraja bila kwanza mifereji ya kuondoa maji maji yote yanablockiwa na tuta la daraja.
 
Umeongea ukweli Mtupu.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kati ya Stesheni ya Jakaya Kikwete Morogoro na Ngerengere kilometa 50 hakuna kituo. Sasa lengo ilikuwa kufungua maeneo husika mbona wakazi wa Fulwe, Mikese, Mkambarani na Kingolwira wote wanateseka kulazimika kufuata huduma kihonda mwisho
 
Back
Top Bottom