Wameua biashara zote toka gerezani hadi Pugu,gongo la mboto ndio mbaya zaidi hakuna pa kuvuka.
Tusubirie msimu wa mvua malalamiko ya maji kujaa kwenye majumba ya watu,unajengaje daraja bila kwanza mifereji ya kuondoa maji maji yote yanablockiwa na tuta la daraja.