mwanausangi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 548
- 608
mara nyingi ni hujuma za watu wa makampuni ya malori, wanahujumu reli maana wanajua reli isipofanya kazi basi watu watahamisha usafiri wa mizigo ktk malori!Mama nae anahujumiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mara nyingi ni hujuma za watu wa makampuni ya malori, wanahujumu reli maana wanajua reli isipofanya kazi basi watu watahamisha usafiri wa mizigo ktk malori!Mama nae anahujumiwa?
Eti bado wanaendelea kuhesabu!Kwa hiyo idadi kamili ya waliofariki haijulikani??
Kuna vitu viwili vya kumtilia maanani. 1. engine inavuta mabehewa hivyo traction force yake ni tofauti na behewa linalovutwa. 2. Uzito wa engine ni constant ( Unabadilika kidogo kutokana na kupungua kwa dezel na kuongeza) Lakini uzito wa behewa ni variable kuna wakati watu wanakuwa wengi sana. (overloaded) Pamoja na mizigo hivyo kuifanya kuwa unstable. Kwa sababu hizo inawezekana engine ikapita sehemu salama na behewa LA abiria likashindwa hivyo likaanguka.
Maajabu haya! Ana uthibitisho gani kuwa kipande hicho cha reli kilikatika kabla ya ajali na si baada ya ajali? Maanake treni ikianguka si ajabu reli kupinda au kukatika.Ajali leo na masaa kadhaa washatoa majibu yao bila kufanya uchunguzi wa kina ndio maana ajali za Treni zinaendelea kuwepo na watendaji wakitoa taarifa zisizo sahihi kwenye bus wangesema mwendo kasi wa dereva...
Wanatoa majibu mepesi kwenye ishu inayohusu maisha ya watu na kesho watu wapande tena hilo treni kwa majibu hayo...chuma kinawaka kwenye ajali kama karatasi tuuMaajabu haya! Ana uthibitisho gani kuwa kipande hicho cha reli kilikatika kabla ya ajali na si baada ya ajali? Maanake treni ikianguka si ajabu reli kupinda au kukatika.
In this country buddy forget it !!Watafute mbinu za kisasa kumonitor rail nchi nzima... HILI NALO LINAHITAJI KATIBA MPYA..