Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
😆😆😆😆😆😆 Wanaojali ubora ni wale wenye Range Rover na VX-R zao ambazo zitatembelea full tank mwezi mzima wa sikukuu huku wakisubiria Yesu azaliwe na kusheherekea kupunguza mwaka mmoja wa Al-Haji Jiwe madarakani.Wameweka mabehewa ya aina gani?
Je safari itatumia masaa mangapi?
HAWA JAMAA ZETU HUWA WANAJALI SANA UBORA,SIO SAWA NA WALE WANAOSAFIRI NA MAJIKO YAO NA KUANZA KUPIKIA HUMO HUMO.
Hao wanaowaza kupanda mabasi ni wale kajamba nani wenzetu. Hivyo hata wakitumia daraja la tatu kusimama mradi wafike panapofuka Moshi.