TRC yatangaza kurejesha huduma za treni ya abiria kutoka Dar kwenda Moshi

TRC yatangaza kurejesha huduma za treni ya abiria kutoka Dar kwenda Moshi

Ila itachukua muda sana kuwachomoa abiria kwenye mabasi kwa mwezi huo wa Desemba,Wamiliki wa kule wa mabasi wataendelea tu kupata abiria ngoja tuone labda serikali wawabane lakini kama watawapa uhuru tutegemee treni kuondoka tupu
ivi umeshawahi kukutana na kadhia ya usafiri wakutoka Dar kwenda kaskazini kwa mwezi huo wa December mkuu? mpaka baadhi ya watu inawabidi kukodi kosta ili tu wafike Moshi kwene x-mass kwahiyo kwa swala hili la treni niukombozi mkubwa..naswala sio kuwafanya wamiliki wa mabasi wakose abiria ila tutarajie December ya mwaka huu nauli zamabasi kubaki zile zile zilizozoeleka
 
Shida hapa sio muda wa kufika bali uhakika wa kufika kwa BEI nafuu na kuepusha watu kukodi daladala kwenda Moshi. Kama wewe unajali muda basi panda Air Tanzania, Precision Air, KQ au Euric Air. Vinginevyo tumia gari lako binafsi.

Kusafiri kwa treni ni raha hasa kwa kufanya utalii wa ndani ya nchi unapopita maeneo ya madaraja, mbuga, na mapori ambayo treni inapita. Hata mimi nilitoka Michigani kwenda Chicago kwa treni ili kufanya utalii tu sio kwa kukosa hela ya basi au ndege.
Kwa hiyo mkuu hii ni kwa ajili ya msimu wa Disemba tu?

Maana kipindi kingine mabasi yanayoenda huko sio ya shida, na mtu atapendelea usafiri wa basi kuliko wa treni kutokana na spidi na ubora
Na wala sio gharama pia nikilinganisha na bei za hiyo treni

Anyway ngoja tusubiri tuone itakuaje, zinaeza kuwa za viwango kuliko tunavyowaza
 
Kilimanjaro itakua kama mbezi,kutakua na muingiliano wa makabila mengi kama dar angalau hata wadada wa kule watachangamka kitandani waanze nao kukata viuno,nami ntakua naenda kila wiki kula nyapu zangu ambazo zipo kiporo kule
80% ya wadada wa Kilimanjaro wapo Arusha na Dar. Kule mlimani ni wazee mostly
 
Okee safi sana wametime muda muafaka mana mwezi December nauli zamabasi zinapanda sana na usafiri unakua washida mno kwaiyo natumai ndugu zangu wa uchagani utatuzi umepatikana
Umeangalia jambo hili kwa makengeza kwani na mvua hizi mnaweza kujikuta ndani ya mto Wami baada ya daraja kusombwa na maji
 
Hapana. Ila unaweza kununua chumba kizima kama familia ukamix jinsia mwenyewe
Kawaida tu,nshalala na mademu wa 3 toka Britain France Backpacker wala hatukusumbuana,dakika ya mwisho mmoja wao ndio alianza ukaribu (bored) na tunamaliza likizo poa tu.
Mpaka leo tunaweza kutana wiki hamna kitu akilegeza anachapwa ilale anatimka.
 
Ufipa hawana jema kwao. Ingependeza treni iondoke jion iingie Moshi Alfajiri. Wenye mabasi watajibeba safari hii
Acha Siasa za maji taka hizo. kufungua reli iliyofungwa miaka kibao! kwa nini ilifungwa, Ni hasara kiasi gani imetokea kipindi hicho. Sio swala la kuanza kumnyoshea ALIYEKUTEKENYA UKAAMKA, ccm yapaswa kushukuru CHADEMA kwa kuamshwa kwake toka usingizi wa pono uliosababisha miundombinu kuharibika. Heko wapinzani kwa kuitekenya ccm na serikali yao.
 
Mnapenda shukurani mbona nyie hamshukuru kwa mazuri yanayofanywa na serikali?
Acha Siasa za maji taka hizo. kufungua reli iliyofungwa miaka kibao! kwa nini ilifungwa, Ni hasara kiasi gani imetokea kipindi hicho. Sio swala la kuanza kumnyoshea ALIYEKUTEKENYA UKAAMKA, ccm yapaswa kushukuru CHADEMA kwa kuamshwa kwake toka usingizi wa pono uliosababisha miundombinu kuharibika. Heko wapinzani kwa kuitekenya ccm na serikali yao.
 
Back
Top Bottom