Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,646
- 5,606
Utalii si kwa mtanzania,Tumeshindwa kupanga tu kwenda mikumi kwa mwaka mara moja ndio tuanze kutalii kwenye treni hilo sahau,Usafiri wa treni ni utalii...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utalii si kwa mtanzania,Tumeshindwa kupanga tu kwenda mikumi kwa mwaka mara moja ndio tuanze kutalii kwenye treni hilo sahau,Usafiri wa treni ni utalii...
ivi umeshawahi kukutana na kadhia ya usafiri wakutoka Dar kwenda kaskazini kwa mwezi huo wa December mkuu? mpaka baadhi ya watu inawabidi kukodi kosta ili tu wafike Moshi kwene x-mass kwahiyo kwa swala hili la treni niukombozi mkubwa..naswala sio kuwafanya wamiliki wa mabasi wakose abiria ila tutarajie December ya mwaka huu nauli zamabasi kubaki zile zile zilizozoelekaIla itachukua muda sana kuwachomoa abiria kwenye mabasi kwa mwezi huo wa Desemba,Wamiliki wa kule wa mabasi wataendelea tu kupata abiria ngoja tuone labda serikali wawabane lakini kama watawapa uhuru tutegemee treni kuondoka tupu
Kwa hiyo mkuu hii ni kwa ajili ya msimu wa Disemba tu?Shida hapa sio muda wa kufika bali uhakika wa kufika kwa BEI nafuu na kuepusha watu kukodi daladala kwenda Moshi. Kama wewe unajali muda basi panda Air Tanzania, Precision Air, KQ au Euric Air. Vinginevyo tumia gari lako binafsi.
Kusafiri kwa treni ni raha hasa kwa kufanya utalii wa ndani ya nchi unapopita maeneo ya madaraja, mbuga, na mapori ambayo treni inapita. Hata mimi nilitoka Michigani kwenda Chicago kwa treni ili kufanya utalii tu sio kwa kukosa hela ya basi au ndege.
80% ya wadada wa Kilimanjaro wapo Arusha na Dar. Kule mlimani ni wazee mostlyKilimanjaro itakua kama mbezi,kutakua na muingiliano wa makabila mengi kama dar angalau hata wadada wa kule watachangamka kitandani waanze nao kukata viuno,nami ntakua naenda kila wiki kula nyapu zangu ambazo zipo kiporo kule
Umeangalia jambo hili kwa makengeza kwani na mvua hizi mnaweza kujikuta ndani ya mto Wami baada ya daraja kusombwa na majiOkee safi sana wametime muda muafaka mana mwezi December nauli zamabasi zinapanda sana na usafiri unakua washida mno kwaiyo natumai ndugu zangu wa uchagani utatuzi umepatikana
Bwana mdogo jikite kwenye mada acha porojo jamviniWacha fujo ww mgalaga gigi koko
Kusimama masaa 12?Ok nikajua kusimama
Vitanda vinne kwa watu wanne kila mmoja analipia kitanda chakeKwenye kulala hapo nimeona vitanda vinne inamaana kila kitanda mnalipia au hio bei niyachumba kizima
Hapo dawa kuchukua chumba kizima tu maana kukaa na chapombe masaa12 yataka moyoVitanda vinne kwa watu wanne kila mmoja analipia kitanda chake
Masaa kutokea wapi mpaka wapi?Ni vibaya mtu kujua masaa ambayo safari itatumia mkuu?!
Ipo tayar.Shirika la Reli kuweni wa kisasa. Wekeni mifumo ya kukata tiketi za abiria online.
Mnamix jinsia?Vitanda vinne kwa watu wanne kila mmoja analipia kitanda chake
Hapana. Ila unaweza kununua chumba kizima kama familia ukamix jinsia mwenyeweMnamix jinsia?
Kawaida tu,nshalala na mademu wa 3 toka Britain France Backpacker wala hatukusumbuana,dakika ya mwisho mmoja wao ndio alianza ukaribu (bored) na tunamaliza likizo poa tu.Hapana. Ila unaweza kununua chumba kizima kama familia ukamix jinsia mwenyewe
Acha Siasa za maji taka hizo. kufungua reli iliyofungwa miaka kibao! kwa nini ilifungwa, Ni hasara kiasi gani imetokea kipindi hicho. Sio swala la kuanza kumnyoshea ALIYEKUTEKENYA UKAAMKA, ccm yapaswa kushukuru CHADEMA kwa kuamshwa kwake toka usingizi wa pono uliosababisha miundombinu kuharibika. Heko wapinzani kwa kuitekenya ccm na serikali yao.Ufipa hawana jema kwao. Ingependeza treni iondoke jion iingie Moshi Alfajiri. Wenye mabasi watajibeba safari hii
Naunga mkono hoja 👍👍Naishauri serikali kwa vile ndio ipo kwenye majaribio wafanye bure wiki nzima kama walivyofanya kwenye mwendo kasi[emoji848][emoji134]
Acha Siasa za maji taka hizo. kufungua reli iliyofungwa miaka kibao! kwa nini ilifungwa, Ni hasara kiasi gani imetokea kipindi hicho. Sio swala la kuanza kumnyoshea ALIYEKUTEKENYA UKAAMKA, ccm yapaswa kushukuru CHADEMA kwa kuamshwa kwake toka usingizi wa pono uliosababisha miundombinu kuharibika. Heko wapinzani kwa kuitekenya ccm na serikali yao.