kitowowoti
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 756
- 510
safi sana,gonga tano kwa 5This is good ..
Kudos
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi sana,gonga tano kwa 5This is good ..
Kudos
Wasanii watengewe behewa lao siku ya uzinduziWameshatangaza! safari za moshi zitaanza mwanzoni mwa mwezi DC
Shida hapa sio muda wa kufika bali uhakika wa kufika kwa BEI nafuu na kuepusha watu kukodi daladala kwenda Moshi. Kama wewe unajali muda basi panda Air Tanzania, Precision Air, KQ au Euric Air. Vinginevyo tumia gari lako binafsi.Itatumia masaa mangapi dar to moshi?
Wasanii watengewe behewa lao siku ya uzinduzi
du umenikumbusha mbai mosie iwe. Hata wale wa mashewa, magoma, usangi, mwanga, nk treni hii ni yenu pia. Wacha wenye mabasi wakohoe kikohozi kikavu safari hii, na hata zile hoteli zao za bei mbaya mule njiani zitashusha bei walahi.Kwl kabisa mkuu nami panapomajaliwa nitalionja natumai Mombo stesheni napo patakua panafanya kazi kwahiyo kwa Korogwe sio lazima wote tushukie Korogwe mjini kwa sisi wa Mombo nandugu zangu wa Lushoto watashukia mombo nakupanda gari zakupandisha (weita ushoto,mlalo,vugha bazo ,bumbui,shambaai,Mtae.. ni iwe du)
daraja la tatu mnakaa wengi kwenye behewa kama vile kwenye basi na huduma nyingine chache. Lakini kuna viti pia, madirisha, choo nk. Tofauti ni idadi ya watu kwa chumba na huduma zingine za kulala na kupunzika na misosiHilo daraja la tatu la kusimama au wengine hatujawahi panda hii FORTALEZA,
Hata hiyo meridian sasa itapatikana na kwa bei nafuu, itakuwa sio ya kugombania tena na hata kauli za makondakta zitakuwa za kibiashara zaidi kuliko zamani.Nitapanda hata meridian uhakika saa kumi upo marangu cha jioni hata hakijabandikwa jikoni
Behewa 20 = basi 20 lazima wenye mabasi wajitafakariHata hiyo meridian sasa itapatikana na kwa bei nafuu, itakuwa sio ya kugombania tena.
Ok nikajua kusimamadaraja la tatu mnakaa wengi kwenye behewa kama vile kwenye basi na huduma nyingine chache. Lakini kuna viti pia, madirisha, choo nk. Tofauti ni idadi ya watu kwa chumba na huduma zingine za kulala na kupunzika na misosi
Kusimama utake mwenyewe au wale wazamiaji na vibakaOk nikajua kusimama