FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Moja ya ujinga wa Watanzania ni kutowajibika wenyewe na kutafuta sababu ya kumsukumia mwengine kwa kila baya.najiuliza sana hivi tumbili na Bundi wanawezaje kukata umeme ?View attachment 3058458
Serikali ilitafuta scapegoat tu hapa..
Hapo ilitakiwa kadogosa awajibike kwa kutufanya wote wajinga.
Wana "telemetry system" za kisasa kabisa kuweza kuelewa hata mabadiliko ya joto kwenye reli nzima, watashindwa kuelewa kuwa sasa kuna bundi na ngedere wananyemelea na wakafukuzwa kwa mashine za kuwafukuza?
Yaani wanatwambia kuwa mfumo wa usalama wa reli upo kijinga kiasi hicho? Hapo ni uzembe wa watu tu, wasisingizie wanyama.