Moja ya ujinga wa Watanzania ni kutowajibika wenyewe na kutafuta sababu ya kumsukumia mwengine kwa kila baya.najiuliza sana hivi tumbili na Bundi wanawezaje kukata umeme ?View attachment 3058458
Serikali ilitafuta scapegoat tu hapa..
CCM inahusika nini hapo? hapo semeni ukweli ni Kadogosa mwenye matatizo ya uongo.CCM ktk ubora wao wa uongo ...tutasikia mengi ktk hilii n swala la muda tuu...
Akili zako bana, ndege itumie umeme halafu umeme ukatike angani siyo!!?Hivi,kama hiyo treni ingekuwa ni ndege inayotumia umeme na ipo angani,nini kingetokea?Na kama kweli treni hiyo inatumia umeme na mafuta kwa uchaguzi wa mtumiaji,kwa nini mafuta hayakuwekwa kabisa kabla ya safari?Hakuna bajeti ya mafuta?Au walihofia ikibeba na mafuta itakuwa nzito kusereleka?
Anatokea mbinguni kadogosa madam ety......CCM inahusika nini hapo? hapo semeni ukweli ni Kadogosa mwenye matatizo ya uongo.
hata tusipoamini imeshapitishwa ivooNa watanzania 85% wameanini hivyo
Mama Samia ni mstahamilivu sana lakini ana kikomo cha ustahamilivu na mifano kishaionesha. Kodogosa awache uongo la sivyo anakwenda na maji. Bahari haijakupwa.Anatokea mbinguni kadogosa madam ety......
Tuwapee mudaa madamMama Samia ni mstahamilivu sana lakini ana kikomo cha ustahamilivu na mifano kishaionesha. Kodogosa awache uongo la sivyo anakwenda na maji. Bahari haijakupwa.
Tafuta another issueCCM ktk ubora wao wa uongo ...tutasikia mengi ktk hilii n swala la muda tuu...
mazimbu nina adui ambaye before alikuwa mkeNjoo unywe bia hapa mazimbu
Polemazimbu nina adui ambaye before alikuwa mke