Manara aheshimiweBila kusahahu cafcl tulitoa sare, ni sheria tu zilikuwa za ovyo
MBU MBU MBUCommunity shield haiwezi kukamilisha treble, hata tungechukua caffc sawa na Europa league sio treble, treble inatakiwa kuwa NBC premier league, Azam fa cup, na caf cl tu.... Hivi vingao vya jamii si makombe hayo
Mi Yanga ila hapo umechemka
IdiotMBU MBU MBU
idiot baba akoKwa io tumechukua Treble sio? Idiot
Yanga kaibeba Simba Club bingwa Afrika kwa ushindi wa leo.Habari wananchi:
Uingereza man City wameweza kubeba Makombe matatu Kwa mpigo ikiwemo UEFA....... Premier Ligue.....na lingine nmesahau
Bongo Yanga bado wameendelea kujenga ufalme wao kwenye suala la mpira kubeba Makombe matatu Kwa mpigo kama tu city pale mjini ulaya
Ngap ya hisani
Ligue
Azam confederation cup
Na kufika final ya kombe la shirikisho CAF
Abominationidiot baba ako
AbominationSawa Mbu mbu mbu mbu mbu [emoji23]
pweteAbomination
Abomination
Nani Kama YangaHabari wananchi:
Uingereza man City wameweza kubeba Makombe matatu Kwa mpigo ikiwemo UEFA....... Premier Ligue.....na lingine nmesahau
Bongo Yanga bado wameendelea kujenga ufalme wao kwenye suala la mpira kubeba Makombe matatu Kwa mpigo kama tu city pale mjini ulaya
Ngap ya hisani
Ligue
Azam confederation cup
Na kufika final ya kombe la shirikisho CAF
Mbona mmekuwa wakali🤩🤩idiot baba ako