Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Habari wananchi:
Uingereza Man City wameweza kubeba Makombe matatu kwa mpigo ikiwemo UEFA, Premier Ligue na lingine nimesahau.
Bongo Yanga bado wameendelea kujenga ufalme wao kwenye suala la mpira kubeba Makombe matatu kwa mpigo kama tu City pale mjini Ulaya.
Ngapi ya hisani.
Ligue
Azam Confederation Cup, na kufika Finali ya Kombe la Shirikisho CAF.