Treble: kule Man City huku Yanga

Treble: kule Man City huku Yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Habari wananchi:

Uingereza Man City wameweza kubeba Makombe matatu kwa mpigo ikiwemo UEFA, Premier Ligue na lingine nimesahau.

Bongo Yanga bado wameendelea kujenga ufalme wao kwenye suala la mpira kubeba Makombe matatu kwa mpigo kama tu City pale mjini Ulaya.

Ngapi ya hisani.

Ligue
Azam Confederation Cup, na kufika Finali ya Kombe la Shirikisho CAF.
 
Community shield haiwezi kukamilisha treble, hata tungechukua caffc sawa na Europa league sio treble, treble inatakiwa kuwa NBC premier league, Azam fa cup, na caf cl tu.... Hivi vingao vya jamii si makombe hayo

Mi Yanga ila hapo umechemka
 
MBU MBU MBU
 
Habari wananchi:

Uingereza man City wameweza kubeba Makombe matatu Kwa mpigo ikiwemo UEFA....... Premier Ligue.....na lingine nmesahau

Bongo Yanga bado wameendelea kujenga ufalme wao kwenye suala la mpira kubeba Makombe matatu Kwa mpigo kama tu city pale mjini ulaya

Ngap ya hisani

Ligue

Azam confederation cup

Na kufika final ya kombe la shirikisho CAF
Yanga kaibeba Simba Club bingwa Afrika kwa ushindi wa leo.
 
989A1939-E239-445A-98F5-D554009D77EF.jpeg

Vimbenju🤣🤣🤣🤣
 
Habari wananchi:

Uingereza man City wameweza kubeba Makombe matatu Kwa mpigo ikiwemo UEFA....... Premier Ligue.....na lingine nmesahau

Bongo Yanga bado wameendelea kujenga ufalme wao kwenye suala la mpira kubeba Makombe matatu Kwa mpigo kama tu city pale mjini ulaya

Ngap ya hisani

Ligue

Azam confederation cup

Na kufika final ya kombe la shirikisho CAF
Nani Kama Yanga
 
Back
Top Bottom