Trector aina ya Lovol ni bei nafuu sana

Wewe unaonekana ni dalali ama muuza ma power tiller.
Na hizi mvua za kusua sua apoteze , da wa mwezi Kwa kulima eka 70 tu wakato akipata trekta hizo heka anapiga siku 3 TU .
Duuuuh, mkuu sina udalali Wala uuzaji pawatila mimi ni kapuku naunga unga maisha sina hata 100 mbovu, kutoa ushauri sio dhambi kiongozi.
 
Duuuuh, mkuu sina udalali Wala uuzaji pawatila mimi ni kapuku naunga unga maisha sina hata 100 mbovu, kutoa ushauri sio dhambi kiongozi.
Dhambi inakuja pale unapompa mtu ushauri wa kumpotosha
 
Bei za hizo trekta zikoje?.
 
Ttupia picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…