Tetesi: Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.

Hivi wewe mleta Uzi ni fake Pascal Mayalla au Original Pascal Mayalla (nguli wa media)?.Nauliza kwa nia njema kwani hujawa verified.
 
Mkuu Pascal

Exactly there something around the corner "

Huyu professor Wa udsm alikuwa hazina kubwa sana Kwa taifa........

Lakini naona anapelekwa kwenye wizara iliyoshindika kumu maliza ya Nishati na madini..........

Bado naamini January makamba atabaki pamoja na kusemwa sana......

Kama nawaona hivi Magembe,Mpango na Muhongo........

Let's wait na see......
 


what about him?

 
Kwa upande wa brain,pale mlimani upande wa sheria anashikilia rekodi ya "moja " ya wanafunzi waliopata alama za juu sana kwenye matokeo ya jumla,nadhani anachuana na prof/dk majamba

Kwa kuwa kaingia kwenye siasa,ana tatizo la hasira,alicontrol,pia nae ana matatizo kama ka bosi wake mdomoni,ni hard worker sana hasa kwenye maeneo ya academics

Sijui ata perform vipi kwenye siasa hasa ukichukulia vurugu na amshamsha ya kisiasa ni tofauti NA darasani.

Ni very strict, na inawezekana akakwazana na Mkuu kwa kuwa natabiri kabudi "atamfunika" has a akipewa wizara nzito,pia hata kwa mambo ya Mkuu,nina imani kabudi kama lawyer,hakubaliani nayo kwa asilimia 85,kabudi anapenda Ku reform mfumo na kuheshimu taratibu(though sometime he is harsh)Mkuu yeye hapendi sana kufata taratibu wala kuunda mifumo,anaamini katika one man show.
 
Kinyume chake pia ni sawa
 
Hatimae umeunganisha I'd zako na umeamua kubaki na I'd verified user.. Na kuchukua post zako zileee zimekuja huku baada ya kugundua katika fake I'd ulileta post mzuri sana
 
Atateuliwa kabla ya bunge
 
Ahsante kwa kutumegea za chumbani kwa wananzengo.

Ila mmetupiga mark time kwenye historia ya maendeleo ya Tanzania.
 
Kama kawaida yake! Anataka kutengeneza Serikali ya kikanda mambo ambayo Nyerere alipiga vita sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…