Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanabodi,
Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila likifanyika jambo, huangalii tuu jambo lililofanyika bali unajiuliza the motive behind kufanyika kwa jambo fulani.
Jambo lililofanyika leo ni hili
Kufuatia uteuzi huu, then, this is a sign, very soon, end ikawa, kutafanyika mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri!.
Na kama hili litafanyika, nakiri, Prof. Kabudi ni one of the gifted best brains we have hapa nchini kwetu kwenye tasnia ya sheria.
NB. Hakuna direct propotionality na co relation between the best brains kwenye academia na the best result oriented performance kwenye nafasi za utendaji!.
Swali linabaki nani ambao wame proove kuwa non performers hivyo wame flop na wanapaswa kuondoka, na nani wataingia mmoja wao akiwa ni huyu mteuliwa mpya?!.
Congratulation wateuliwa, we wish you all the best!.
NB. Pia sio lazima 100% uteuzi wa Kabudi ni ili kumpa uwaziri, inawezekana ni kumuingiza kwenye lile jengo kwenda kusaidia kile kichwa kianafunzi chake maana kiukweli kimepwaya!, lets wait and see!.
Paskali
Hii chini ni baadhi tuu ya trend reading zangu.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe ...
Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla ...
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Pemba Chini ya CCM kuneemeka au Kujutia Kuichagua CUF Chaguzi ...
Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC! | Page 9 ...
Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5, Top 3 na ...
Fedha na MipangoNasubiri nione Bulembo atachukua nafasi ya nani
Kwa upande wa brain,pale mlimani upande wa sheria anashikilia rekodi ya "moja " ya wanafunzi waliopata alama za juu sana kwenye matokeo ya jumla,nadhani anachuana na prof/dk majambaWanabodi,
Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila likifanyika jambo, huangalii tuu jambo lililofanyika bali unajiuliza the motive behind kufanyika kwa jambo fulani.
Jambo lililofanyika leo ni hili
Kufuatia uteuzi huu, then, this is a sign, very soon, end ikawa, kutafanyika mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri!.
Na kama hili litafanyika, nakiri, Prof. Kabudi ni one of the gifted best brains we have hapa nchini kwetu kwenye tasnia ya sheria.
NB. Hakuna direct propotionality na co relation between the best brains kwenye academia na the best result oriented performance kwenye nafasi za utendaji!.
Swali linabaki nani ambao wame proove kuwa non performers hivyo wame flop na wanapaswa kuondoka, na nani wataingia mmoja wao akiwa ni huyu mteuliwa mpya?!.
Congratulation wateuliwa, we wish you all the best!.
Paskali
Hi chini ni baadhi tuu ya trend reading zangu.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe ...
Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla ...
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Pemba Chini ya CCM kuneemeka au Kujutia Kuichagua CUF Chaguzi ...
Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC! | Page 9 ...
Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5, Top 3 na ...
Kinyume chake pia ni sawaLengo la Uteuzi wa leo alikuwa ni Prof. Kabudi, sasa ili kumsindikiza kabudi Bungeni ikabidi atafutwe na kupatikana kwa huyu Bulembo ili wananchi wasitafakari kwa haraka the motive behind na mlengwa hasa, kwa hiyo Mlengwa hakuwa Bulembo bali Kabudi.
Nadhani Prof. Kabudi atakuwa waziri wa Nishati na madini ili apambane na mikataba ya akina IPTL, Symbion nk. au yawezekana Mh. Rais amenasa hujuma za mwakyembe hivyo anataka kumuondoa.
thubutu wee. mtu ametumbua vyeti feki hadi wenyewe kukimbia ofisi. mikopo hewa wanafunzi hewa etc. labda kama wewe ni cheti hewa au mwanafunzi hewa ndio utamchukia.Ndalichako awe wakwanza kutumbuliwa!
Wizara imemshinda kabisa
hapa dr mwakyembe amekalia kuti kavu.natabiri faru maghembe,mzee wa bumburi,mzee wa foreign affairs,mzee wa mipango ya trilion 29.5 sidhani kama watasalimika
"mayalla kwa kikwetu manayake njaaa mayalla oyeeeeee"
Ndalichako awe wakwanza kutumbuliwa!
Wizara imemshinda kabisa
Viwanda na biasharaNasubiri nione Bulembo atachukua nafasi ya nani
Atateuliwa kabla ya bungeBaaada ya wabunge wateule kuapishwa hiyo siku, kitakachofuatia soon kwenye magazeti kama vichwa vya habari itakuwa hiviii:-
1. Palamagamba Kabudi aula wizara ya sheria na katiba.
2. Faru Johari amuondoa profesa Ma-hoe...!
3. Faru Johari aondoka na ma-Hoe...!
4. Maliasili wapata waziri msomi profesa...!
5. Ngosha Amtemesha Ngese Profesa Ma-Hoe.....!
6. Profesa Palamagamba Kabudi apelekwa maliasili kumtafuta Faru Johari....!
7. Nk, Nk.....!