Tetesi: Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.

Aiseeeee ila mtu anaweza akawa na misimamo yake alafu ni brain kinoooomaaa alafu akapewa kazi chini ya fulani.Yani hapo ndio kwisha kaziiiii.Sometimes hizi teuzi unaweza ukaingia umenyanyua pua ila ukikaakaa ndani unanyoooka tu na pua inashuka dadadeki
 
Naona kama wizara ya katiba na Sheria inafumiliwa.... Time will tell
 
Yeah.....una mwelekeo mzuri wa kubashiri mkuu.....hata mi naona hivyo
 
Sawa subiri uone.... January avuki mkuu.... Ujasikia kuwa yeye ndio anashirikiana na baadhi ya wafanyabiashara kumhujumu Rais?. Alianza hilo kwenye sukari, na saizi kwenye mahindi (chakula)
Una ushahidi juu ya haya madai mkuu? Tumegee kidogo.........
 
Eti St.John.....[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Acha Kabudi, ccm hata wamlete John Kerry katika serikali yao kama atatenda kazi zake kiccm ataishia kuwa wa hovyo tuu. Ili ufanye kazi kwa weledi lazima ujitenge na utendaji wa kiccm ccm vinginevyo waenda kujiaibisha tuu.
 
Mw...ge your days a numbered. Mwa...embe we need to change ur post. Mpango wa maendeleo mh sorry bro I think u a out. Muhagama mh I think we need sub for u
 
Acha zako. Mulimsifia Ndalichako hapa-hapa. Ndo ameboronga kuliko hata huyo Kawambwa tuliyemubeza kila kukicha. Acheni zenu kabisa. Hana gifted brain yoyote, ni msaka tonge tu kama wengine. Bora wenye elimu za kawaida kama Rais wetu msatafu kipenzi cha watu,Jakaya Kikwete wanafanya mambo ambayo yanakuwa sehemu ya maisha ya watu. Siyo misifa tu hakuna badiliko lolote ambalo ni tangible. Hayo ma PhD yao hayana lolote, ni wachumia tumbo tu a.k.a wasaka tonge . Ova.......!!!!!
 
Natamani hata mama Ndalichako angepumzishwa
 

WELL SAID MKUU, KWA BAHATI MBAYA HII TABIA IMEJENGEKA SANA - ULALAMISHI TU.
 
Kuna Siku wateuliwa watagoma kutumbuliwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…