Wanabodi,
Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila likifanyika jambo, huangalii tuu jambo lililofanyika bali unajiuliza the motive behind kufanyika kwa jambo fulani.
Jambo lililofanyika leo ni hili
Kufuatia uteuzi huu, then, this is a sign, very soon, end ikawa, kutafanyika mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri!.
Na kama hili litafanyika, nakiri, Prof. Kabudi ni one of the gifted best brains we have hapa nchini kwetu kwenye tasnia ya sheria.
NB. Hakuna direct propotionality na co relation between the best brains kwenye academia na the best result oriented performance kwenye nafasi za utendaji!.
Swali linabaki nani ambao wame proove kuwa non performers hivyo wame flop na wanapaswa kuondoka, na nani wataingia mmoja wao akiwa ni huyu mteuliwa mpya?!.
Congratulation wateuliwa, we wish you all the best!.
NB. Pia sio lazima kwa 100% uteuzi wa Prof. Kabudi ni ili kumpa uwaziri, inawezekana ni kumuingiza kwenye lile jengo kwenda kusaidia kile kichwa kianafunzi chake maana kiukweli kimepwaya katika tasnia ya mabishano ya kisheria ndani ya jengo haswa unapokutana na hoja kichaa za wale vichaa wa sheria, hivyo akashauriwa aingize kichwa kuongezea uzito kupunguza makali ya kupelekwa puta!.
Lets just wait and see!.
Paskali
Hii chini ni baadhi tuu ya trend reading zangu.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe ...
Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla ...
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Pemba Chini ya CCM kuneemeka au Kujutia Kuichagua CUF Chaguzi ...
Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC! | Page 9 ...
Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5, Top 3 na ...