Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Dah!Wenye treni zenu mmeshaanza kuhoji!Mbona pua yake imekatwa, na hicho kipande kipo wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!Wenye treni zenu mmeshaanza kuhoji!Mbona pua yake imekatwa, na hicho kipande kipo wapi?
True alafu this is 2024 speed ya kawaida tu iyo160km/h speed ya kawaida sana. Haina maajabu.
160km/h speed ya kawaida sana. Haina maajabu.
Mchongoko huo 😃Mbona inatisha 😂😂😂
Kwani hata msiporubunika mtawafanya nini?Kuna mdau kaniambia kwa kuning'oneza kuwa unaweza kukuta ni ile ile ila wamebadiri uso na muonekano ili kuturubuni.
Binti yangu nifah kumbe upo jamani?.Kwani hata msiporubunika mtawafanya nini?
Afu baada ya mda kuna chawa atajisahau na kuropoka kuwa wameipimp.Kuna mdau kaniambia kwa kuning'oneza kuwa unaweza kukuta ni ile ile ila wamebadiri uso na muonekano ili kuturubuni.
Nimemjibu, subiri tuone mwendo wake hapo ndipo tutaanza kumshukuru mzazi wetu kama ilivyo hada, 😃!.
Ila tayari mwekezaji wa DRT keshapatikana toka Uarabuni.TU WEPESI KWENYE KUANZISHA VITU
WAGUMU NA HATUWEZI KUSIMAMIA.
REJEA SIMULIZI YA MABASI YA MWENDOKASI
NDANI YA MIAKA 5 IJAYO ATATAFUTWA MWEKEZAJI,
PENGIONE NI HAO HAO DP WORLD
Tumshukuru samia kwa mchongokoKuna mdau kaniambia kwa kuning'oneza kuwa unaweza kukuta ni ile ile ila wamebadiri uso na muonekano ili kuturubuni.
Nimemjibu, subiri tuone mwendo wake hapo ndipo tutaanza kumshukuru mzazi wetu kama ilivyo hada, 😃!.
Kuna mahali wamesema still ni hatua za mwanzoni kwanza, lakini treninis capable of 200km/h +. Just miundo mbinu badoTreni oli iitwe ya mwendokasi lazima ikimbie kuanzia 200km/hr ma kuendelea.Hii ya 160km/hr ipo kundi gani? Tena umeme?
Kawaida yao, vuta subra!.Afu baada ya mda kuna chawa atajisahau na kuropoka kuwa wameipimp.
Pamoja na hayo sisi tunaomba muweke nauli rafiki kwa kulingana na usawaSeti ya kwanza ya EMU
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa ya kuwasili katika Bandari ya Dar es salaam kwa seti ya kwanza ya Treni ya kisasa ya EMU, Vichwa vitano vya umeme na Mabehewa matatu ya Abiria ( iliyowasili ni seti moja ambayo kikawaida hufungwa behewa nane na vichwa viwili kimoja mbele na kimoja nyuma).
Taarifa iliyotolewa leo April 03,2024 na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano- TRC, Jamila Mbarouk imeeleza yafuatayo ——— > “Kupitia TRC ilifanya manunuzi ya seti kumi (10) za Treni za kisasa zijulikanazo kama Electric Multiple Unit (EMU) kutoka kwa Watengenezaji kampuni ya Hyundai Rotem ya Korea Kusini, seti moja ya EMU ina uwezo wa kubeba Abiria 589 na kutembea kilomita 160 kwa saa, EMU ni treni iliyoundwa kwa teknolojia ya kisasa inayomuwezesha Abiria kupata huduma kama Wi-FI, sehemu za kukaa Watu wenye mahitaji maalum n.k”
“Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania imepokea jumla ya Mabehewa 65 ya Abiria, Vichwa 9 vya umeme na seti moja ya EMU, seti nyingine za EMU zitaendelea kuwasili kila mwezi hadi Oktoba 2024, kuwasili kwa vitendea kazi kunaifanya TRC kuwa tayari kuanza huduma za usafirishaji Abiria katika reli ya kiwango cha kimataifa”
“Maendeleo ya mradi wa SGR awamu ya kwanza yamefikia asilimia 98.90 kwa kipande cha Dar es salaam - Morogoro (KM 300), asilimia 96.51 kipande cha Morogoro - Makutupora, asilimia 13.98 kipande cha Makutupora - Tabora, asilimia 5.44 kipande cha Tabora - Isaka, asilimia 54.01 kipande cha Mwanza - Isaka
View attachment 2953191