Treni ya abiria ya kifahari zaidi duniani (Rovos) yawasili Tanzania.

Treni ya abiria ya kifahari zaidi duniani (Rovos) yawasili Tanzania.

Synod

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
4,143
Reaction score
4,180
Katika kile ambacho kinaonekana ni mwendelezo wa kukuza sekta ya utalii Tanzania, treni ya kifahari zaidi duniani "Rovos" ya Africa kusini imewasili hapa nchini ikiwa na watalii wapatao 75 na idadi kubwa ya wahudumu!

Treni hiyo imewasili siku ya jumamosi tarehe 15 July 2017 na itakaa hadi tarh 18 July 2017.

Watalii hao wanategemewa kutembelea vivutio mbali mbali vinavyopatikana hapa nchini!

Hata hivyo, hii ni mara ya pili kwa reli hiyo kuwasili hapa, mara ya kwanza ilikuwa mwezi March na inategemewa kurudi tena mwezi September/October!


tapatalk_1500270526182.jpeg


tapatalk_1500270532152.jpeg


tapatalk_1500270539588.jpeg



Maelezo zaidi Rovos Rail train: Rolling from Cape to Tanzania - eTurboNews (eTN)
 
Wapelekwe mpaka Ngorongoro na Serengeti na mlimani Kilimanjaro
 
Msisahau kuwatahadharisha wakitaka kutoka nje ya TZ kuelekea Kenya, wawe waangalifu sana wakifika Kenya wasikae sehemu zenye mikusanyiko ya watu, kama vile shopping malls nakadhalika kwasababu ugaidi umeshamiri sana Kenya
 
How I wish reli ya kati ingekuwa "hai" na kwa viwango vya treni hiyo!
Maana hawa jamaa wangeunganisha hadi Arusha ili wafanye utalii wa uhakika.
 
Hii treni ya kifahari zaidi duniani mbona inafanana kama ya Mwakiembe

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom