Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Katika kile ambacho kinaonekana ni mwendelezo wa kukuza sekta ya utalii Tanzania, treni ya kifahari zaidi duniani "Rovos" ya Africa kusini imewasili hapa nchini ikiwa na watalii wapatao 75 na idadi kubwa ya wahudumu!
Treni hiyo imewasili siku ya jumamosi tarehe 15 July 2017 na itakaa hadi tarh 18 July 2017.
Watalii hao wanategemewa kutembelea vivutio mbali mbali vinavyopatikana hapa nchini!
Hata hivyo, hii ni mara ya pili kwa reli hiyo kuwasili hapa, mara ya kwanza ilikuwa mwezi March na inategemewa kurudi tena mwezi September/October!
Maelezo zaidi Rovos Rail train: Rolling from Cape to Tanzania - eTurboNews (eTN)