johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hii analysis ni ya kurudiwa maana kule busisi tunatoka mwendo wa masaa 2.5 mpaka dk 4.[emoji16][emoji16]imetumia 19hrs haina tofauti na treni ya 1945 kweli awamu hii imejaa vilaza
Hii Treni Mara ya mwisho kufanya kazi Waziri wa Mambo ya ndani alikuwa Mbunge wa Moshi vijijini Ndg Augustine Lyatonga Mrema wakati huo Ndg Magufuli alikuwa zake Viwandani Mwanza
Kwa niaba ya Ndugu zangu wa kichaga wenye roho za Mengi na wenye roho ya Ufo saro tunakupongeza sana
[emoji16][emoji16]imetumia 19hrs haina tofauti na treni ya 1945 kweli awamu hii imejaa vilaza
Hii Treni ilihujumiwa na ccm na sasa wanajifanya kuifufua halafu wanataka wasifiwe hahaa mabingwa wa kutengeneza tatizo halafu kuja kulitatua kwa mbwembwe.Hii Treni Mara ya mwisho kufanya kazi Waziri wa Mambo ya ndani alikuwa Mbunge wa Moshi vijijini Ndg Augustine Lyatonga Mrema wakati huo Ndg Magufuli alikuwa zake Viwandani Mwanza
Kwa niaba ya Ndugu zangu wa kichaga wenye roho za Mengi na wenye roho ya Ufo saro tunakupongeza sana
Tehe tehe,pinga pinga hamkosi la kusemaMtu unaondoka dar saa 10 jioni unafika moshi saa 2 asubuhi. Si bora kupanga gari za "MAGAZETI".
Mtu unaondoka dar saa 10 jioni unafika moshi saa 2 asubuhi. Si bora kupanga gari za "MAGAZETI".
Usalama,muhimu,hio ya magazeti inawezabeba watu 200
Ye akapande magazeti aachie wengine,Wewe utawaweza binadamu hata ufanye nini hawaridhik waache wenye uhitaji watapanda hiyo treni wasiohitaji wapande hizo za magazeti
Watu wanasema treni gani inatumia masaa 17,bora wakapande gari za magazeti!This is good news, haya ndio maendeleo ya huduma tunayoyazungumza.
P
Utakua ni wale walioamua kupanda gari za magazetiHii Treni ilihujumiwa na ccm na sasa wanajifanya kuifufua halafu wanataka wasifiwe hahaa mabingwa wa kutengeneza tatizo halafu kuja kulitatua kwa mbwembwe.