Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dar es Salaam yawasili Moshi ikiwa na abiria 294, ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM

Katika kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM Shirika la reli nchini liliifufua reli yake ya Dsm to Moshi na hivyo kuwarahisishia wananchi usafiri.

Leo saa 3.00 kupitia kipindi cha Ripoti maalum kinachorushwa na luninga ya ITV mtaonyeshwa namna safari ya kwanza ya treni Dsm - Moshi - Dsm. ilivyofanyika kwa mafanikio makubwa.

Mtaonyeshwa safari hiyo Stesheni moja hadi nyingine na kupata maoni ya abiria na yale ya wananchi katika stesheni mbalimbali treni hiyo ilikosimama.
Source ITV

Maendeleo hayana vyama!
 
Kweli maendeleo hayana chama!

Sasa hao abiria watatoka wapi wakati tuliambiwa wasafiri wanaoenda Moshi ni wamiliki wa magari au wanakodi magari! Yaani hawawezi kukaa kwenye treni kwa masaa 16 wakati wanauwezo wa kusafiri mpaka Moshi kwa masaa 2-9

Tuliambiwa huo ''upuuuzi'' waupeleke kwenye reli ya kati kwa sababu unawafaa wasafiri wa maeneo hayo kwa sababu wengi ni ''washamba''!
 
Umefanya utafiti ?unaweza kuuweka hapa au ngonjera na mapambio ya kijani kibichi kama sio weka hapa ilani tuanze kuipitia kueasa kwa kurasa ,mstari kwa mstari kama hujakimbia .
 
Kweli maendeleo hayana chama!

Sasa hao abiria watatoka wapi wakati tuliambiwa wasafiri wanaoenda Moshi ni wamiliki wa magari au wanakodi magari! Yaani hawawezi kukaa kwenye treni kwa masaa 16 wakati wanauwezo wa kusafiri mpaka Moshi kwa masaa 2-9

Tuliambiwa huo ''upuuuzi'' waupeleke kwenye reli ya kati kwa sababu unawafaa wasafiri wa maeneo hayo kwa sababu wengi ni ''washamba''!
Natamani ningekua nimekuelewa ulitaka kusemaje vile?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MsemajiUkweli,

Wengi waliopanda, ni kwa ajili ya utalii tu na kwa kuwa wengi pengine hawajawahi panda tokea ccm imeiua hiyo reli basi ndio kama kusafisha nyota!

....lakini pia kwa kuwa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka wasafiri ni wengi basi ndio kama unavyoona! Ingezinduliwa mwezi wa nane uone!

Mwezi wa pili wanapaki hii kitu, au zitabaki behewa mbili tu....
Mwezi wa pili si mbali, au nauli wafanye elfu nne labda!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kweli maendeleo hayana chama!

Sasa hao abiria watatoka wapi wakati tuliambiwa wasafiri wanaoenda Moshi ni wamiliki wa magari au wanakodi magari! Yaani hawawezi kukaa kwenye treni kwa masaa 16 wakati wanauwezo wa kusafiri mpaka Moshi kwa masaa 2-9

Tuliambiwa huo ''upuuuzi'' waupeleke kwenye reli ya kati kwa sababu unawafaa wasafiri wa maeneo hayo kwa sababu wengi ni ''washamba''!
Bwashee karibu ITV saa 3 ushuhudie kwa macho na masikio!
 
Back
Top Bottom