muhimu imefikajohnthebaptist, [emoji16][emoji16]imetumia 19hrs haina tofauti na treni ya 1945 kweli awamu hii imejaa vilaza
johnthebaptist, [emoji16][emoji16]imetumia 19hrs haina tofauti na treni ya 1945 kweli awamu hii imejaa vilaza
Hakika bwashee!Kweli maendeleo hayana chama!
Natamani ningekua nimekuelewa ulitaka kusemaje vile?Kweli maendeleo hayana chama!
Sasa hao abiria watatoka wapi wakati tuliambiwa wasafiri wanaoenda Moshi ni wamiliki wa magari au wanakodi magari! Yaani hawawezi kukaa kwenye treni kwa masaa 16 wakati wanauwezo wa kusafiri mpaka Moshi kwa masaa 2-9
Tuliambiwa huo ''upuuuzi'' waupeleke kwenye reli ya kati kwa sababu unawafaa wasafiri wa maeneo hayo kwa sababu wengi ni ''washamba''!
Bwashee karibu ITV saa 3 ushuhudie kwa macho na masikio!Kweli maendeleo hayana chama!
Sasa hao abiria watatoka wapi wakati tuliambiwa wasafiri wanaoenda Moshi ni wamiliki wa magari au wanakodi magari! Yaani hawawezi kukaa kwenye treni kwa masaa 16 wakati wanauwezo wa kusafiri mpaka Moshi kwa masaa 2-9
Tuliambiwa huo ''upuuuzi'' waupeleke kwenye reli ya kati kwa sababu unawafaa wasafiri wa maeneo hayo kwa sababu wengi ni ''washamba''!
ITV nyumbani kumenoga!TBC wamekausha