Tanzania Railways Corp
Govt Institution
- Mar 23, 2018
- 292
- 690
Pongezi kwa mjerumani kwa kuona mbali. Walianza kuijenga mwaka 1893 mpaka 1912 ilianza kazi. Hawa wajerumani wangebaki sijui tungekuwa na maendeleo kiasi gani ila cha moto tungekipata.
Pongezi kwa kufufua reli hiyo.
Dah! Hata mimi nimesikitika kwa nilichoandika. Ila ndio hivyo reli ya mwaka 1893 ndio tunaikarabati leo mwaka 2020. Kwa hiyo pongezi ziende moja kwa moja kwa serikali ya awamu ya tano kwa kukarabati reli ya Arusha. Hongera sana TRC.nimesikitika sana kuona mwana jf una comment hivi,
mjerumani hakujenga hiyo reli ili bibi yako asafiri mkuu, hiyo ilikuwa ni kwa ajili ya kurahisisha wizi wake wa natural resources zetu, mjerumani alijenga reli hiyo kwa faida zake binafsi
fuatilia historia hizi reli zilitumika kuiba dhahabu kutoka kwenye makoloni
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa hiyo bila wao tungekuwa na reli sasa? Lazima ukubali kuwa ukoloni ulileta faida pianimesikitika sana kuona mwana jf una comment hivi,
mjerumani hakujenga hiyo reli ili bibi yako asafiri mkuu, hiyo ilikuwa ni kwa ajili ya kurahisisha wizi wake wa natural resources zetu, mjerumani alijenga reli hiyo kwa faida zake binafsi
fuatilia historia hizi reli zilitumika kuiba dhahabu kutoka kwenye makoloni
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hao makamanda wakishavaa magwanda yao ni vigumu sana kuwaelewa.nimesikitika sana kuona mwana jf una comment hivi,
mjerumani hakujenga hiyo reli ili bibi yako asafiri mkuu, hiyo ilikuwa ni kwa ajili ya kurahisisha wizi wake wa natural resources zetu, mjerumani alijenga reli hiyo kwa faida zake binafsi
fuatilia historia hizi reli zilitumika kuiba dhahabu kutoka kwenye makoloni
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hongereni sana watu wa Arusha kwa kuwa na usafiri wa treni sasa.Kishindo Cha Awamu Ya Tano
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania