mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,848
- 22,392
Mkuu Mimi napinga hoja yako kuhusu wakoloni kujenga reli kwa faida yao,,,ya kuiba resources za Tanganyika,,, Bali walijenga reli kwa lengo la kurahisisha usafiri kwa ujumla,,,,kama wakoloni walifanya mambo kwa faida yao je!!,wakoloni walijenga shule kwa faida ya nani?wakoloni waliweka city plans za mitaa na miji kwa faida ya nani?waliweka maji na umeme majumbani kwa faida ya nani?walijenga mahospitali na majumba ya ibada kwa faida ya nani?walijenga barabara kote inchini tena za lami,,,zingine zipo hadi Leo kwa faida ya nani?walijenga nyumba za makazi ya watu kwa faida ya nani?sio kwl kwamba mkoloni alifanya kwa ajili ya kumnufaisha yeye binafsi ,,Bali alifanya kwa ajili ya maendeleo ya inchi kwa ujumla kwa sababu yeye ndy alikuwa anaishi eneo hili..na kulimiliki,,,,,,,,na ukiangalia inchi nyingi zilizochelewa mkoloni kuondoka nyingi zilikuwa na maendeleo makubwa kuliko zile ambazo ziliwahi mkoloni kuondoka,,,nimesikitika sana kuona mwana jf una comment hivi,
mjerumani hakujenga hiyo reli ili bibi yako asafiri mkuu, hiyo ilikuwa ni kwa ajili ya kurahisisha wizi wake wa natural resources zetu, mjerumani alijenga reli hiyo kwa faida zake binafsi
fuatilia historia hizi reli zilitumika kuiba dhahabu kutoka kwenye makoloni
Sent from my iPhone using JamiiForums