Treni ya kwanza ya Abiria yawasili Arusha baada ya miaka 30

Treni ya kwanza ya Abiria yawasili Arusha baada ya miaka 30

Halikuuawa lilikufa, na litakufa tena, serikali haiwezi kufanya biashara yenye faida kwenye soko huria lenye ushindani.
Sasa kama ni soko huria kelele za kwa wenye mabasi pale treni ya moshi ilipoanza, zilikuwa za nini?
 
DAR EXP
SIJUI SAIBABA
KILIMANJARO
CASTLE
MARANGU
SIJUI NANIIIIIII

JIANDAE NA BEI ZENI TUTAHESHIMIANA TU SOKUHIZI OOH
HIZO 33/35/37/40 MTABEBAAA MAITI
 
Nina Imani kuna baadhi ya U30 hawajawahi kuiona treni.Hongereni awamu ya Tano kwa hii hatua.
 
Mimi ni miongoni mwa abiria wa mwishomwisho waliowahi kutumia usafiri huo wa treni kutoka Moshi kwenda Arusha miaka takriban 35 iliyopita. Tulikua tukipita nyika zenye nyasi fupi za ki savannah katika miji/stesheni za Boma, Kikuletwa, Kia na Arusha yenyewe

Sijawahi kuelewa kwanini reli hii ilikufa/iliuliwa!!! Juhudi zozote za kuifufua na kisha kuiboresha hakika ni za kuungwa mkono na wapenda maendeleo wote
Tanzania mambo mengi yanajifia bila hata kuwa na sababu yoyote, je sababu zikiwepo itakuwaje?
 
Kweli Tanzania tumepata Raisi haya mambo ukiyatazama unaweza kuhisi ni ndoto lakini ndio hivyo yanatokea.

Ashukuriwe Mungu, wabarikiwe wote waliochangia JPM kuwa Raisi wa hii jamuhuri, hakika Mungu hawatupi waja wake. Tulifunga na kuomba kwa ajili ya kupata Raisi mzalendo na haya ndio matokeo yake, viva JPM.
Hongera kwa watu wa Arusha kwa kurudishiwa haki yenu na kwa kuvumilia uzembe mkubwa wa serikali wa kuua treni kwa miaka 30 bila sababu yoyote.
 
Mkuu ndiyo maana tunampongeza aliye dhubutu
Mtu anayethubutu kusema anataka kuua Upinzani mtu ambae hajui vipaumbele vya wananchi
Hakuna maji vijijini Shule hazina Madarasa na madawati kwenda kuingiza mamilioni ya fedha kwenye reli wakati Loliondo watu wanakunywa maji kwenye madimbwi
 
Mkuu huko kote Jpm kuna projects zinazoendelea ili kuondoa hayo matatizo.
Tatizo la maji na madarasa ni kubwa sana na litahitaji not less than 6 years kuweza kulipunguza kwa angalau 75%. Pia kama inchi inabidi kuboresha miundombinu ili kuimarisha / kukuza uchumi na kumpunguzia mwananchi gharama kwa njia mbakimbali hivyo kuingozea serikali mapato ambayo yatasaidia kuendeleza hiyo miradi ya maji na kuboresha elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni nyimbo za CCM kweni wameandikiwa na Daktari kuendelea kuitawala nchi hii

Sasa hivi imefikia mpaka wameanza kufanya mauwaji ya kisiasa dhidi ya Watanzania na uvunjifu wa haki za binadamu
 
Mkuu çcm unayoijua haiwezi karabati/ fufua reli bali ni utashi wa kiingozi aliyeko juu na kwa maana hiyo tunampongeza JPM kwa anachofanya. Tunaipongeza serekali iliyopo madarakani especially Rais JPM

Back
Top Bottom