Treni ya kwanza ya Abiria yawasili Arusha baada ya miaka 30

Treni ya kwanza ya Abiria yawasili Arusha baada ya miaka 30

Mkuu çcm unayoijua haiwezi karabati/ fufua reli bali ni utashi wa kiingozi aliyeko juu na kwa maana hiyo tunampongeza JPM kwa anachofanya. Tunaipongeza serekali iliyopo madarakani especially Rais JPM

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu wala tusidanganyane hizi ni mbinu zingine za ccm ni baada ya kuona upinzani unapamba moto na watu wanataka mabadiliko ndio inakuja na hii mbinu ya Miradi ghali na yakisiasa ili kuwalaghai wananchi

Huyu Jpm anakimbilia Kununua ndege ghali wakati vijijini hakuna huduma kama maji safi nk
Ndege zenyewe zinasafiri tupu na zinaingiza hasara

Anaenda kukopa kwa riba kubwa wakati alikataa mikopo ya riba ndogo
TATIZO NI CCM!
 
Kwa hiyo bila wao tungekuwa na reli sasa? Lazima ukubali kuwa ukoloni ulileta faida pia

huwezi juwa, siwezi kusema bila mkoloni sasa hivi tusingekuwa na reli, what if nyerere au mtu mwingine angekuja kujenga na ingekuwepo sasa ? there are things in life that we cant put assumptions to,
siwezi kukubali kwamba ukoloni ulileta faida yoyote africa mbali na ile ndogo ya elimu ambapo watoto wa ma chief kama kina nyerere walipata elimu
mkoloni aliiharibu Africa, huko congo watu walikatwa mikono na kuuwawa, zaidi ya watu miliioni 5 walikufa Africa kutokana na hiyo contact ya mwafrica na mzungu

swali lako limenikumbusha mahojiano fulani alifanya nyerere na mzungu mmoja huko ikulu ya chamwino, nyerere aliulizwa hivi “imani yako ya kikristo ina mchango gani katika maisha yako ? laiti usingekua mkristo ungekuwaje leo ?”

nyerere akakaa kimya kidogo then akajibu “siwezi sema leo ningekuwaje kama nisingepata ukristo enzi za utoto wangu”


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna kitu wala tusidanganyane hizi ni mbinu zingine za ccm ni baada ya kuona upinzani unapamba moto na watu wanataka mabadiliko ndio inakuja na hii mbinu ya Miradi ghali na yakisiasa ili kuwalaghai wananchi

Huyu Jpm anakimbilia Kununua ndege ghali wakati vijijini hakuna huduma kama maji safi nk
Ndege zenyewe zinasafiri tupu na zinaingiza hasara

Anaenda kukopa kwa riba kubwa wakati alikataa mikopo ya riba ndogo
TATIZO NI CCM!

Mkuu hilo la maji nilishalielezea. Kwa mtizamo wako, ungelipenda hadi vijiji vyote Tanzania vipate maji ya bomba ndipo miundombinu iboreshwe?
Kama kiongozi anakopa kwa manufaa yawengi, inabidi apongezwe. Mikopo ina siri nyingi sana, waweza kopa kwa riba ndogo ila masharti yake ni mabaya sana. So suala la mikopo linatakiwa kuangaliwa kwa mapana yake na si riba tu
 
Pongezi kwa mjerumani kwa kuona mbali. Walianza kuijenga mwaka 1893 mpaka 1912 ilianza kazi. Hawa wajerumani wangebaki sijui tungekuwa na maendeleo kiasi gani ila cha moto tungekipata.
Pongezi kwa kufufua reli hiyo.

Kwanini sisi tunaogopa na hata kupiga vita project zote za kimkakati? Wajerumani wakati wanajenga, wazee wetu walikuwa hawana lolote la faida kwai, ila walijenga. Sisi tunalalamika kila linalofanyika tena kwa manufaa yetu.
Tujifikirie vizuri
 
Mkuu hilo la maji nilishalielezea. Kwa mtizamo wako, ungelipenda hadi vijiji vyote Tanzania vipate maji ya bomba ndipo miundombinu iboreshwe?
Kama kiongozi anakopa kwa manufaa yawengi, inabidi apongezwe. Mikopo ina siri nyingi sana, waweza kopa kwa riba ndogo ila masharti yake ni mabaya sana. So suala la mikopo linatakiwa kuangaliwa kwa mapana yake na si riba tu
Mbona majibu mepesi mepesi hivyo tokea ccm itawale nchi hii maji zimekua ni ahadi ahadi uongo uongo ila kumbuka watu mwisho wa ccm unakuja
 
Mbona majibu mepesi mepesi hivyo tokea ccm itawale nchi hii maji zimekua ni ahadi ahadi uongo uongo ila kumbuka watu mwisho wa ccm unakuja
Mkuu majibu siyo mepesi. Tofauti yetu inatokana na tunaxhosimamia. Mimi napongeza individual (Rais JPm) kwa anayotenda wewe unaongelea chama (ccm). Kwa mitizamo hiyo majibu hayawezi kuwa mazito .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kishindo Cha Awamu Ya Tano
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Hahaa awamu ya viwanda
IMG_20200227_191256.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo bila wao tungekuwa na reli sasa? Lazima ukubali kuwa ukoloni ulileta faida pia
Kuwa na reli ni maamuzi na kipaumbele cha Rais husika...mbona reli ya SGR haina vinasaba vyovyote na wakoloni na hata hiyo ya wakoloni mpaka leo tena Rais Magufuli anaikarabati means ilikuwa ni pambo tu kwa viongozi wengine.

Kupanga ni kuchagua bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni miongoni mwa abiria wa mwishomwisho waliowahi kutumia usafiri huo wa treni kutoka Moshi kwenda Arusha miaka takriban 35 iliyopita. Tulikua tukipita nyika zenye nyasi fupi za ki savannah katika miji/stesheni za Boma, Kikuletwa, Kia na Arusha yenyewe

Sijawahi kuelewa kwanini reli hii ilikufa/iliuliwa!!! Juhudi zozote za kuifufua na kisha kuiboresha hakika ni za kuungwa mkono na wapenda maendeleo wote
Nahisi mkuu ukipanda kwa awamu hii utakuwa unasafiri huku unadondosha chozi kwa kumbukumbu za kipindi icho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisikiliza "mbwembwe" kama hizi, kama ni mgeni unaweza kufikiri kwa hiyo miaka 30 kulikuwa na chama tawala tofauti na CCM hapa Tz.

Ulipaswa useme pia kuwa ni utawala mbovu wa CCM uliua reli/treni kwa miaka yote hiyo....

Unatengeneza tatizo mwenyewe, halafu unalitatua....kisha unajisifu! Muwaombe msamaha watanzania kwa kushindwa kuwapa utawala bora na maendeleo kwa miaka yote hiyo.
ukiambiwa umuonyeshe huyo CCM aliyeua reli hutoweza kumuonyesha kwa sababu is non existing creature,lakini ukiambiwa umuonyeshe aliefufua ni JPM that is how politics works.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza mmesha walipa stahiki zao wale walio achishwa kazi baada ya tren kusimama kwa mda wa 30 years ?
 
Back
Top Bottom