Haya ndio manenooo..tulilalamika vilipokufa sasa vimefufuliwa tunatakiwa kufurahia...
Haya ndio manenooo..tulilalamika vilipokufa sasa vimefufuliwa tunatakiwa kufurahia...
Hili hamna,,,watanzania tupo wengi mno wenye uwezo na sifa za kuongoz nchi..tusirud ujimaRaisi Magufuli ni lazima aongezewe muda mpaka 2035, kama yeye mwenyewe akikubali!
Inaishia morogoro tuuuZitto anasemaje?
Eeee Mola mwingi wa Rehema umjaliie mja wako magufuli akili na Hekma ya kutokubaliana na upunguwani huu.... Ile democrasia iliyo muingiza tunatamani ituletee wengine kabla hajaaribu Yale mema aliyotufanyia... Blessed MagufuliRaisi Magufuli ni lazima aongezewe muda mpaka 2035, kama yeye mwenyewe akikubali!
SIO AJABU hao CHADEMA waliohamia CCM huko Arusha na Mbeya hawajajua faida ya kuifufua TreniKwa akili za wana CCM haya ni 'maendeleo', kilichoifanya hiyo treni ife mara ya kwanza ndicho kitakachoiua tena.
Hoja sio treni kukanyaga Arusha, hoja ni je usafiri huo una tija kwa TRC? wanaweza kujiendesha kibiashara na kupata faida? au tunarudi kulekule nchi kuwa na mashirika mengi mizigo?
Havikujifia tu vyenyewe ila viliuawa.Haya ndio manenooo..tulilalamika vilipokufa sasa vimefufuliwa tunatakiwa kufurahia...
Mkuu toa ushauri wako nini kifanyike ili tusirudi huko tulikotoka.Kwa akili za wana CCM haya ni 'maendeleo', kilichoifanya hiyo treni ife mara ya kwanza ndicho kitakachoiua tena.
Hoja sio treni kukanyaga Arusha, hoja ni je usafiri huo una tija kwa TRC? wanaweza kujiendesha kibiashara na kupata faida? au tunarudi kulekule nchi kuwa na mashirika mengi mizigo?