kipande cha pili ni kilefu sana cha barabara ya pangani bagamoyo alafu kapewa mkandalasi mmoja cha pangani tanga mjini kilomete 50 kinamshinda mkandalasi hadi lei kilomete moja ya lami amnaMbona huulizi barabara mpya ya kutoka Tanga kupitia Pangani kwenda Dar, imefikia wapi?
Barabara ya kutoka Arusha kwenda Dodoma kupitia orkesmet imefikia wapi?
Barabara ya GEITA kwenda nzera KULE Kwa Joseph musukuma imefikia wapi?
Barabara ya kutoka GEITA kupitia kakola kwenda Kahama imefikia wapi?
leo si ndio leo dar-moro kuanzia saa4 na ni mubashara kabisa bila chenga🐒Sasa yapata miaka mitatu tangu tuaminishwe kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza huduma yake lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea. Ninaomba majibu kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TRC. Atoke waziwazi kupitia luninga kuelezea umma ili tufahamu tatizo liko wapi.