Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
usiwaamini hata kidogo CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Julai 2040Hii mpaka julai huko
Rwandes alipotoka Kayafa JiweSerikali ya Tanzania ilitangazia umma kwamba January 2024 reli ya SGR itaanza kazi ! Sasa kwa wale tunaofatilia tayari January imeisha na tren ya umeme haijaanza kufanya kazi
Hivi serikali hii ni ya maneno siyo vitendo watu wakisema JPM was the best president hawakosei haya mambo yanayofanyika ya porojo bila kazi ndiyo yanadumaza maendeleo ya nchi
Kuna mambo kadhaa katika nchi yakishamili kama yafuatayo-
1.Rushwa
2.ubadhilifu wa Mali za umma
3.matumizi mabaya ya madaraka
4.wizi
5.uzembe n.k
Mambo haya daima nchi hiyo usitegemee maendeleo yoyote.
Maneno ya waziri wa uchukuzi na taasisi yake kwa ujumla:
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema mwishoni mwa Januari, 2024 treni ya abiria ya reli ya kisasa (SGR) itaanza kutoa huduma kati ya Dar es Salaam na Morogoro.
Huenda kauli ya Profesa Mbarawa ikawa habari njema kwa Watanzania, baada ya wiki hii kushuhudiwa kichwa cha treni hiyo kikifanya majaribio kwenye reli hiyo.
Awali zilitolewa ahadi kadhaa kuhusu majaribio hayo, lakini hazikutekelezeka.
Novemba 19, 2020, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea mradi wa SGR Morogoro na akaeleza kuridhishwa na ujenzi wa kipande hicho, wakati huo ujenzi ukiwa asilimia 90 na aliwaahidi Watanzania kwamba njia hiyo ingepitisha treni ya kwanza Aprili 2021.
Machi 15, 2021 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dk Leonard Chamuriho, akiwa Morogoro, alisema treni ya kisasa ingeanza kufanya kazi Agosti mwaka huo.
Aprili 20, 2021, Waziri Mkuu alitangaza tarehe nyingine, akisema treni hiyo ya kisasa ingeanza kufanya majaribio Agosti mwaka huo.
Akizungumza jana katika kikao cha mawaziri saba wa Sekta ya uchukuzi wa Umoja wa Ushoroba wa Kati (CCTTFA), Profesa Mbarawa alisema huduma itaanza kutolewa kuanzia mwishoni mwa Januari, mwakani.
“Jambo la kufurahisha mwishoni mwa Januari, 2024 tutaanza rasmi kutumia usafiri wetu wa SGR kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro kwa ajili ya abiria si mizigo,” alisema.
Sasa January imeisha Kesho February 2024.
Nauli itakuwa sailing ngapi? Au itakuwa sawa na abood?Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema mwishoni mwa Januari, 2024 treni ya abiria ya reli ya kisasa (SGR) itaanza kutoa huduma kati ya Dar es Salaam na Morogoro.
Huenda kauli ya Profesa Mbarawa ikawa habari njema kwa Watanzania, baada ya wiki hii kushuhudiwa kichwa cha treni hiyo kikifanya majaribio kwenye reli hiyo.
Awali zilitolewa ahadi kadhaa kuhusu majaribio hayo, lakini hazikutekelezeka.
Novemba 19, 2020, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea mradi wa SGR Morogoro na akaeleza kuridhishwa na ujenzi wa kipande hicho, wakati huo ujenzi ukiwa asilimia 90 na aliwaahidi Watanzania kwamba njia hiyo ingepitisha treni ya kwanza Aprili 2021.
Machi 15, 2021 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dk Leonard Chamuriho, akiwa Morogoro, alisema treni ya kisasa ingeanza kufanya kazi Agosti mwaka huo.
Aprili 20, 2021, Waziri Mkuu alitangaza tarehe nyingine, akisema treni hiyo ya kisasa ingeanza kufanya majaribio Agosti mwaka huo.
Akizungumza jana katika kikao cha mawaziri saba wa Sekta ya uchukuzi wa Umoja wa Ushoroba wa Kati (CCTTFA), Profesa Mbarawa alisema huduma itaanza kutolewa kuanzia mwishoni mwa Januari, mwakani.
“Jambo la kufurahisha mwishoni mwa Januari, 2024 tutaanza rasmi kutumia usafiri wetu wa SGR kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro kwa ajili ya abiria si mizigo,” alisema.
Mkutano wa mawaziri
Mkutano wa jana uliwajumuisha mawaziri saba wa sekta za uchukuzi wa mataifa ya Tanzania, Uganda, Malawi, Zambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Burundi.
Profesa Mbarawa alisema mkutano huo umekuwa wa mafanikio na wamekubaliana masuala mbalimbali ili ushoroba huo upige hatua.
Katika kikao hicho, mataifa ya Zambia na Malawi yalikubaliwa kujiunga na umoja huo na kufikisha idadi ya nchi saba kutoka tano za awali.
Alisema ushoroba huo unaunganishwa kwa miundombinu, ikiwamo ya reli, maziwa na barabara na kwamba, baadhi ya mataifa yanajenga reli za kisasa, ikiwamo Tanzania.
Mawaziri wa sekta za uchukuzi wa Zambia na Malawi waliwashukuru wenzao wa umoja huo kwa kufanikisha mataifa hayo kuingia katika mpango.
Treni huwa nauli bei chee sana.Nauli itakuwa sailing ngapi? Au itakuwa sawa na abood?
Nauli itakuwa sailing ngapi? Au itakuwa sawa na abood?
Usafiri wa Train ni wa uhakika zaidi na bei nafuu hasa kwenye Mizigo. Utekelezaji wake ni Topic nyigine kabisa.Haya ndiyo matatizo ya kufanya vitu kwa mihemko na pia kwa kukurupuka.
Hela waliyoichezea kwenye ujenzi wa hii treni na pia ununuzi wa zile ndege, huenda ingeweza kuzijenga barabara zote kuu nchini kwa kiwango cha lami; na hivyo kurahisisha usafirishaji wa watu na mizigo kutoka eneo moja kwenda lingine.
Fix kama hizi Mzee Mgaya huwa anaziitaje kiccm?Umeme upo?
Legacy 😂😂😂
Tafuta kuna uzi humu JF unaeleza nauli zitakavyokuwa, Dar to Moro haitazidi hiyo uliyoandika hapo.Nauli itakuwa mara mbili ya nauli ya Bus.
Wengine watakuja na Bei ya Train ya zamani, usiwaamini.
Kwenda speed kubwa kuna gharama zake. Dunia nzima, hiyo ndiyo kawaida.
Kwa Bus hadi Morogoro ni 10,000Tsh.
Kwa Train ya SGR Hesabu nauli zaidi ya Tsh.20,000. Hapa naongelea uzoefu wangu wa kukaa huku shamba Sikonge 😂
Hata DART mliaminishwa nauli itakuwa pungufu ya daladala za kawaida...Tafuta kuna uzi humu JF unaeleza nauli zitakavyokuwa, Dar to Moro haitazidi hiyo uliyoandika hapo.
Treni ni bora kuliko barabara za lamiHaya ndiyo matatizo ya kufanya vitu kwa mihemko na pia kwa kukurupuka.
Hela waliyoichezea kwenye ujenzi wa hii treni na pia ununuzi wa zile ndege, huenda ingeweza kuzijenga barabara zote kuu nchini kwa kiwango cha lami; na hivyo kurahisisha usafirishaji wa watu na mizigo kutoka eneo moja kwenda lingine.
Anayesema hivyo anaitwa mbawala unategemea Kuna utekelezaji kweliSerikali ya Tanzania ilitangazia umma kwamba January 2024 reli ya SGR itaanza kazi ! Sasa kwa wale tunaofatilia tayari January imeisha na tren ya umeme haijaanza kufanya kazi
Hivi serikali hii ni ya maneno siyo vitendo watu wakisema JPM was the best president hawakosei haya mambo yanayofanyika ya porojo bila kazi ndiyo yanadumaza maendeleo ya nchi
Kuna mambo kadhaa katika nchi yakishamili kama yafuatayo-
1.Rushwa
2.ubadhilifu wa Mali za umma
3.matumizi mabaya ya madaraka
4.wizi
5.uzembe n.k
Mambo haya daima nchi hiyo usitegemee maendeleo yoyote.
Maneno ya waziri wa uchukuzi na taasisi yake kwa ujumla:
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema mwishoni mwa Januari, 2024 treni ya abiria ya reli ya kisasa (SGR) itaanza kutoa huduma kati ya Dar es Salaam na Morogoro.
Huenda kauli ya Profesa Mbarawa ikawa habari njema kwa Watanzania, baada ya wiki hii kushuhudiwa kichwa cha treni hiyo kikifanya majaribio kwenye reli hiyo.
Awali zilitolewa ahadi kadhaa kuhusu majaribio hayo, lakini hazikutekelezeka.
Novemba 19, 2020, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea mradi wa SGR Morogoro na akaeleza kuridhishwa na ujenzi wa kipande hicho, wakati huo ujenzi ukiwa asilimia 90 na aliwaahidi Watanzania kwamba njia hiyo ingepitisha treni ya kwanza Aprili 2021.
Machi 15, 2021 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dk Leonard Chamuriho, akiwa Morogoro, alisema treni ya kisasa ingeanza kufanya kazi Agosti mwaka huo.
Aprili 20, 2021, Waziri Mkuu alitangaza tarehe nyingine, akisema treni hiyo ya kisasa ingeanza kufanya majaribio Agosti mwaka huo.
Akizungumza jana katika kikao cha mawaziri saba wa Sekta ya uchukuzi wa Umoja wa Ushoroba wa Kati (CCTTFA), Profesa Mbarawa alisema huduma itaanza kutolewa kuanzia mwishoni mwa Januari, mwakani.
“Jambo la kufurahisha mwishoni mwa Januari, 2024 tutaanza rasmi kutumia usafiri wetu wa SGR kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro kwa ajili ya abiria si mizigo,” alisema.
Sasa January imeisha Kesho February 2024.
Treni ya umeme ni nafuu siyo! Tumeshawahi kuwa nayo hapo kabla? Au umetumia uzoefu kutoka nchi gani?Usafiri wa Train ni wa uhakika zaidi na bei nafuu hasa kwenye Mizigo. Utekelezaji wake ni Topic nyigine kabisa.
Hakuna Kama Reli kwa usafiri wa Mizigo..