Treni ya SGR Dar-Moro kuanza kutoa huduma Januari 2024

Treni ya umeme ni nafuu siyo! Tumeshawahi kuwa nayo hapo kabla? Au umetumia uzoefu kutoka nchi gani?
Nimesomea mambo ya Usafiri nchi kavu na hivyo Barabara, Reli na Viwanja vya ndege.
Dunia nzima, usafiri wa abiria kwa Train unaleta Hasara kwa Mtoa huduma.
Ila kwenye Mizigo wanapata faida kubwa sana.
Miaka kadhaa nyuma, Wakurugenzi wa TAZARA na TRC walikuwa jamaa zangu na wao walisema hata kwa Tanzania ni hivyo hivyo. Ila wenye Maroli hawalali kuhakikisha TAZARA na TRC zinadoda.
Kama upo Dar, nenda uwaulize TAZARA na TRC watakupa Data kabisa.
Ndiyo maana Magufuli aliweka nguvu sana kufufua Usafiri wa Reli. Ila huko ndani kuna biashara kubwa za watu.
Hata wewe ukiwa Rais utajua ugumu uliopo maana Wana wamewekeza Maroli 1000 na wewe uwatose??😂😂

  • Distance
As mentioned before, trains can carry bulk commodities over long distances. Freight trains are specially designed to transport high cargo volumes over long distances while road transport is for smaller loads and shorter distances.

  • Speed and time
Trains can reach much faster than an automobile travelling on road as road transport is dependent on road traffic, weather and other factors. Even though there is significant loading and unloading time for goods transport via rail, it is still considered faster than road transport.

  • Cost
The cost of transporting goods over long distances via rail is less than the cost of transporting goods via road. Goods transport via rail is cheaper because freight trains can carry bulk commodities and feature lower fuel consumption.
 
Nimeuona huo uzi ila hayo yalikuwa mapendekezo ya LATRA na siyo TRC.

TRC wao walipendekeza Kama nilivyosema hata kabla sijausoma uzi wenyewe. Nimetumia tu uzoefu wa Field ya Usafiri kujua kwamba bei zitakuwa juu mara mbili ya Bus na kuzidi kidogo.
Yaani utoke Dar hadi Dodoma kwa masaa tuseme 4 na ulipe nauli Sawa na ya Bus? Hakuna kitu kama hicho.
SGR italeta ushindani kwa Ndege Dodoma to Dar ila kwa Bus, hakuna ushindani kwani SGR itakuwa kwa Matajiri.
Ukitaka bei nafuu basi panda Bus au Train ya 1meter Gauge Rail.
Screenshot_2024-01-31-17-25-01-748_com.android.chrome-edit.jpg

Tafuta kuna uzi humu JF unaeleza nauli zitakavyokuwa, Dar to Moro haitazidi hiyo uliyoandika hapo.
 
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema mwishoni mwa Januari, 2024 treni ya abiria ya reli ya kisasa (SGR) itaanza kutoa huduma kati ya Dar es Salaam na Morogoro.

Huenda kauli ya Profesa Mbarawa ikawa habari njema kwa Watanzania, baada ya wiki hii kushuhudiwa kichwa cha treni hiyo kikifanya majaribio kwenye reli hiyo.

Awali zilitolewa ahadi kadhaa kuhusu majaribio hayo, lakini hazikutekelezeka.

Novemba 19, 2020, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea mradi wa SGR Morogoro na akaeleza kuridhishwa na ujenzi wa kipande hicho, wakati huo ujenzi ukiwa asilimia 90 na aliwaahidi Watanzania kwamba njia hiyo ingepitisha treni ya kwanza Aprili 2021.

Machi 15, 2021 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dk Leonard Chamuriho, akiwa Morogoro, alisema treni ya kisasa ingeanza kufanya kazi Agosti mwaka huo.

Aprili 20, 2021, Waziri Mkuu alitangaza tarehe nyingine, akisema treni hiyo ya kisasa ingeanza kufanya majaribio Agosti mwaka huo.

Akizungumza jana katika kikao cha mawaziri saba wa Sekta ya uchukuzi wa Umoja wa Ushoroba wa Kati (CCTTFA), Profesa Mbarawa alisema huduma itaanza kutolewa kuanzia mwishoni mwa Januari, mwakani.

“Jambo la kufurahisha mwishoni mwa Januari, 2024 tutaanza rasmi kutumia usafiri wetu wa SGR kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro kwa ajili ya abiria si mizigo,” alisema.

Mkutano wa mawaziri

Mkutano wa jana uliwajumuisha mawaziri saba wa sekta za uchukuzi wa mataifa ya Tanzania, Uganda, Malawi, Zambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Burundi.

Profesa Mbarawa alisema mkutano huo umekuwa wa mafanikio na wamekubaliana masuala mbalimbali ili ushoroba huo upige hatua.

Katika kikao hicho, mataifa ya Zambia na Malawi yalikubaliwa kujiunga na umoja huo na kufikisha idadi ya nchi saba kutoka tano za awali.

Alisema ushoroba huo unaunganishwa kwa miundombinu, ikiwamo ya reli, maziwa na barabara na kwamba, baadhi ya mataifa yanajenga reli za kisasa, ikiwamo Tanzania.

Mawaziri wa sekta za uchukuzi wa Zambia na Malawi waliwashukuru wenzao wa umoja huo kwa kufanikisha mataifa hayo kuingia katika mpango.
Kwa hali inavyoendelea uhakika wa kutumia SGR ni mwaka 2040. Hata JPM alikuwa natupiga changa la macho
 
Nadhani umeelezea kwa mfano halisi.

Nauli zitakuwa juu mara mbili kwa Bus. Bus nyingi zitaanzia Morogoro kwani wasafiri wengi watakuja na Train na kutoka hapo kwenda Nikoa mingine.
Walau unakwepa foleni ya Dar😂
Hata DART mliaminishwa nauli itakuwa pungufu ya daladala za kawaida...
Yaani wakuwekee nauli ndogo ya treni ili mmiliki wa Abood, mbunge, mjumbe wa NEC wa CCM na mchangiaji mzuri wa kampeni ashindwe kufanya biashara
DU YU NO ZIS KANTRE???
 
Ke
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema mwishoni mwa Januari, 2024 treni ya abiria ya reli ya kisasa (SGR) itaanza kutoa huduma kati ya Dar es Salaam na Morogoro.

Huenda kauli ya Profesa Mbarawa ikawa habari njema kwa Watanzania, baada ya wiki hii kushuhudiwa kichwa cha treni hiyo kikifanya majaribio kwenye reli hiyo.

Awali zilitolewa ahadi kadhaa kuhusu majaribio hayo, lakini hazikutekelezeka.

Novemba 19, 2020, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea mradi wa SGR Morogoro na akaeleza kuridhishwa na ujenzi wa kipande hicho, wakati huo ujenzi ukiwa asilimia 90 na aliwaahidi Watanzania kwamba njia hiyo ingepitisha treni ya kwanza Aprili 2021.

Machi 15, 2021 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dk Leonard Chamuriho, akiwa Morogoro, alisema treni ya kisasa ingeanza kufanya kazi Agosti mwaka huo.

Aprili 20, 2021, Waziri Mkuu alitangaza tarehe nyingine, akisema treni hiyo ya kisasa ingeanza kufanya majaribio Agosti mwaka huo.

Akizungumza jana katika kikao cha mawaziri saba wa Sekta ya uchukuzi wa Umoja wa Ushoroba wa Kati (CCTTFA), Profesa Mbarawa alisema huduma itaanza kutolewa kuanzia mwishoni mwa Januari, mwakani.

“Jambo la kufurahisha mwishoni mwa Januari, 2024 tutaanza rasmi kutumia usafiri wetu wa SGR kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro kwa ajili ya abiria si mizigo,” alisema.

Mkutano wa mawaziri

Mkutano wa jana uliwajumuisha mawaziri saba wa sekta za uchukuzi wa mataifa ya Tanzania, Uganda, Malawi, Zambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Burundi.

Profesa Mbarawa alisema mkutano huo umekuwa wa mafanikio na wamekubaliana masuala mbalimbali ili ushoroba huo upige hatua.

Katika kikao hicho, mataifa ya Zambia na Malawi yalikubaliwa kujiunga na umoja huo na kufikisha idadi ya nchi saba kutoka tano za awali.

Alisema ushoroba huo unaunganishwa kwa miundombinu, ikiwamo ya reli, maziwa na barabara na kwamba, baadhi ya mataifa yanajenga reli za kisasa, ikiwamo Tanzania.

Mawaziri wa sekta za uchukuzi wa Zambia na Malawi waliwashukuru wenzao wa umoja huo kwa kufanikisha mataifa hayo kuingia katika mpango.
Kesho ni tarehe 1.2.2024 !!
CCM ya Saa100 endeleeni
 
SGR utalipa zaidi kwa sababu muda wa kusafiri ni Mfupi zaidi na siyo Umeme.

Kwanza hata Train za sasa hivi ni za UMEME tofauti yake kubwa ni moja:
SGR itachukua Umeme juu ya Train wakati Train za zamani ZINAZALISHA Umeme zenyewe na kuutumia.
Ni sawa uwe na gari La Umeme halafu ufunge Tela Dogo nyuma na uweke Generator kuzalisha Umeme unaotumika kuendesha gari...😂
Vichwa vya Train ni Kama Generator inayotembea.
Umeme ukishazalishwa, mengine yanabaki Kama Train ya Umeme kwa Umeme kupelekwa kwenye Motors zilizopo kwenye Matairii na safari kuanza..

Train ya zamani yaweza kukimbia hadi 160km/hr ila shida iliyopo hapo ni moja, Reli haijaandaliwa kuweza kuruhusu Train iende speed hiyo na sometime Mabehewa pia hayawezi kuhimili.

TRC wanaweza kuja kuleta Mabus yanayotumia mafuta na yanapita kwenye reli ya SGR. HII hutokea pale Train linakwenda maeneo ambayo hayana Umeme.

Treni huwa nauli bei chee sana.
Kama delux locomotive toka Dar-Tabora 25k ilhali basi ni 55k basi hata hizi Emu nauli yake itakua bei chee tena kwasababu itakua inatumia umeme sio mafuta.
 
SGR utalipa zaidi kwa sababu muda wa kusafiri ni Mfupi zaidi na siyo Umeme.

Kwanza hata Train za sasa hivi ni za UMEME tofauti yake kubwa ni moja:
SGR itachukua Umeme juu ya Train wakati Train za zamani ZINAZALISHA Umeme zenyewe na kuutumia.
Ni sawa uwe na gari La Umeme halafu ufunge Tela Dogo nyuma na uweke Generator kuzalisha Umeme unaotumika kuendesha gari...😂
Vichwa vya Train ni Kama Generator inayotembea.
Umeme ukishazalishwa, mengine yanabaki Kama Train ya Umeme kwa Umeme kupelekwa kwenye Motors zilizopo kwenye Matairii na safari kuanza..

Train ya zamani yaweza kukimbia hadi 160km/hr ila shida iliyopo hapo ni moja, Reli haijaandaliwa kuweza kuruhusu Train iende speed hiyo na sometime Mabehewa pia hayawezi kuhimili.

TRC wanaweza kuja kuleta Mabus yanayotumia mafuta na yanapita kwenye reli ya SGR. HII hutokea pale Train linakwenda maeneo ambayo hayana Umeme.
Kwa ninavyojua mimi kaka.
Katika hizo locomotives na mabehewa watayoleta wataweka ya economy class,business na royal class kama tu ilivyo kwa MGR wameleta ordinary na deluxe.
Hivyo bei itaendana na coach unayochukua kama ni ordinary ama deluxe.
Ila bei haiwezi kuwa moja.
Na pia bei haiwezi kuwa kubwa kwa kiasi hicho unachosema kaka.
 
Hapana mkuu ni enzi za kikwete Huyu ndege JOHN na imhotep . Hawa walikuwa LB7 lumumba buku sana waliokubuhu kina Musa alan
Mimi wakati nahama CCM na kutimkia CHADEMA ulikuwa wakati wa Magu, wakati huo WanaCHADEMA wengi walikuwa wakiunga mkono JUHUDI 😁na nilitangaza rasmi na watu kadhaa walinifuata Inbox na kuniomba nirejee Lumumba nilawapa Big NO!
 
Hizo Class huwa hazipo kwenye Train hizi zilizoungana pamoja Kama nyoka. Hizo utazikuta kwenye Train za kizamani ambako kuna Mabehewa hadi ya kulala.

Hii Train mpya itakuwa kwa ajili ya kukaa tu na hivyo nadhani itakuwa na Economy(second Class) & Business (first Class). Angalia hapo juu utaona pana Table na wameweka bei ya daraja la kawaida na daraja la kati.
Nauli Dar Dodoma ni 59,000 kwa 71,000
Bei watashusha kidogo ila haitashuka sana. Na kwa sababu hii bei walipendekeza mwaka 2022, waweza kukuta hata ikapanda kidogo au kubaki hapo Train ikianza kutembea.
Ujenzi wa Reli gharama Ziko juu sana na watataka fedha zirudi.

Hii nakupa kwa kutumia uzoefu wa hizi Train. Ukilalamika watakuambia panda Delux au ile nyingine mbovu kabisa...

Mfano wa Class na mpango wa viti kwa ndani ilivyo kwa kawaida. Utajua ipi ni class ya juu na ipi ya chini..

1706727511155.png

1706727858532.png

Kwa ninavyojua mimi kaka.
Katika hizo locomotives na mabehewa watayoleta wataweka ya economy class,business na royal class kama tu ilivyo kwa MGR wameleta ordinary na deluxe.
Hivyo bei itaendana na coach unayochukua kama ni ordinary ama deluxe.
Ila bei haiwezi kuwa moja.
Na pia bei haiwezi kuwa kubwa kwa kiasi hicho unachosema kaka.
 
Attachments

  • 1706727763396.png
    1706727763396.png
    838.6 KB · Views: 2
Hizo Class huwa hazipo kwenye Train hizi zilizoungana pamoja Kama nyoka. Hizo utazikuta kwenye Train za kizamani ambako kuna Mabehewa hadi ya kulala.

Hii Train mpya itakuwa kwa ajili ya kukaa tu na hivyo nadhani itakuwa na Economy(second Class) & Business (first Class). Angalia hapo juu utaona pana Table na wameweka bei ya daraja la kawaida na daraja la kati.
Nauli Dar Dodoma ni 59,000 kwa 71,000
Bei watashusha kidogo ila haitashuka sana. Na kwa sababu hii bei walipendekeza mwaka 2022, waweza kukuta hata ikapanda kidogo au kubaki hapo Train ikianza kutembea.
Ujenzi wa Reli gharama Ziko juu sana na watataka fedha zirudi.

Hii nakupa kwa kutumia uzoefu wa hizi Train. Ukilalamika watakuambia panda Delux au ile nyingine mbovu kabisa...

Mfano wa Class na mpango wa viti kwa ndani ilivyo kwa kawaida. Utajua ipi ni class ya juu na ipi ya chini..

View attachment 2890168
View attachment 2890174
Nina wazee wako TRC pale kina Kippaya.
Wamesema kuna mabehewa yatakua ya ordinary kabisa ambayo ni sawa na mabehewa yanayotumiwa katika MGR ya third seat deluxe.
Ambayo yatatumiwa na electric lokomotives na hayo ya kuungwa yatatumika na Electro multiple Unit.
Yani kutakua kuna engine mbili za umeme.
 
Back
Top Bottom