Treni ya SGR Dar-Moro kuanza kutoa huduma Januari 2024

Rwandes alipotoka Kayafa Jiwe

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Nauli itakuwa sailing ngapi? Au itakuwa sawa na abood?
 
Nauli itakuwa mara mbili ya nauli ya Bus.
Wengine watakuja na Bei ya Train ya zamani, usiwaamini.
Kwenda speed kubwa kuna gharama zake. Dunia nzima, hiyo ndiyo kawaida.
Kwa Bus hadi Morogoro ni 10,000Tsh.
Kwa Train ya SGR Hesabu nauli zaidi ya Tsh.20,000. Hapa naongelea uzoefu wangu wa kukaa huku shamba Sikonge 😂
Nauli itakuwa sailing ngapi? Au itakuwa sawa na abood?
 
Haya ndiyo matatizo ya kufanya vitu kwa mihemko na pia kwa kukurupuka.

Hela waliyoichezea kwenye ujenzi wa hii treni na pia ununuzi wa zile ndege, huenda ingeweza kuzijenga barabara zote kuu nchini kwa kiwango cha lami; na hivyo kurahisisha usafirishaji wa watu na mizigo kutoka eneo moja kwenda lingine.
 
Usafiri wa Train ni wa uhakika zaidi na bei nafuu hasa kwenye Mizigo. Utekelezaji wake ni Topic nyigine kabisa.
Hakuna Kama Reli kwa usafiri wa Mizigo..
 
Tafuta kuna uzi humu JF unaeleza nauli zitakavyokuwa, Dar to Moro haitazidi hiyo uliyoandika hapo.
 
Tafuta kuna uzi humu JF unaeleza nauli zitakavyokuwa, Dar to Moro haitazidi hiyo uliyoandika hapo.
Hata DART mliaminishwa nauli itakuwa pungufu ya daladala za kawaida...
Yaani wakuwekee nauli ndogo ya treni ili mmiliki wa Abood, mbunge, mjumbe wa NEC wa CCM na mchangiaji mzuri wa kampeni ashindwe kufanya biashara
DU YU NO ZIS KANTRE???
 
Treni ni bora kuliko barabara za lami
 
Anayesema hivyo anaitwa mbawala unategemea Kuna utekelezaji kweli
 
Tanzania Na Aibu Ambazo Hata Huwezi Kusema Chochote Zaidi Aibu Tupu
SGR Kwisha Haitatembea Mpaka Mwaka Uishe Kifuatacho Sounds
Atakuja Msemaji Wa Serikali, Atakuja Masanja K
Atakuja Waziri Wa Miundo Mbinu Na Uchukuzi



☆☆☆▪︎▪︎▪︎▪︎☆☆▪︎☆▪︎▪︎▪︎¤☆☆☆☆☆☆☆☆☆▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎
Wote Hapo Juu Timua Kabisa, CCM Na Kinyaa Chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…