DOKEZO Treni ya SGR ya Dar - Dodoma imesimama Morogoro kwa Saa Mbili, kisha imezima tena kabla ya kufika Dodoma

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni matatizo ya kiufundi hata wao hawajatarajia mbona siku nyingine wanaenda sawa jitahidi kuwa mvumilivu kama mnaona tren halina uhakika pandeni mabasi mbona miaka iliyopita mlikuwa mnapanda mabasi
Siamini kama unamaanisha ulichoandika!
 
Sabotage .
 
1. Yaani uko eneo la tukio hujui kwanini mmekwama?...Watanzania tuna akili kweli?
Mmeshindwa kukiwasha?
2. Serikali ya Tanzania haiwezi biashara wala huduma, nchi hii yafaa wasimamizi wakodishwe hadi wabunge
 
Naamini kufikia saa 9 itakua imepata chaji ya kutosha na kuendelea na safari
 
Yani unawahi kikao unapanda SGR...hicho kikao hakina umuhimu kwa kukidharau kiasi hicho.
 
Usijali, kichwa kiliishiwa pumzi ilitulazimu tuende milimani tukaiombe mizimu ya Waluguru ituruhusu tupite.
 
Haya majibu yalikuwa yanatolewa karne ya 19 hivyo tunaomba majibu ya karne ya 21, tafadhali
Usinipangie cha kuandika kama treni linawachelewesha mabasi yapo we kama una jambo lako kesho Dodoma basi leo mapema tu panda kimbinyiko unafika leo hii kesho mapema unafanya mishe zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…