DOKEZO Treni ya SGR ya Dar - Dodoma imesimama Morogoro kwa Saa Mbili, kisha imezima tena kabla ya kufika Dodoma

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
yupo busy kuhonga mbowe hela wakat nchi ina vitu vya msingi havipo sawa.hopeless woman
 
Aisee poleni sana.imagine kilikuwa ni kikao cha tenda ndiyo utakuwa umeikosa.Kwenye ndege ikitokea hivyo huwa wanawanunulia chakula pia.

Naamini bado wanafanya testing,itatengemaa tuu.maana nadhani pia hata lqst wiki watu walikalishwa Kilosa for more than 3 hrs na hiyo hiyo SGR
 
Mkuu hiyo train ni Used siyo mpya ukiona vifaa used vinakuja Nchini uko vinapotoka vinakua vimeshapitwa na muda, ni sawa ununue Nokia Lumia used.
Acha stori za vijiweni. Treni zinazofanya kazi zote mpya. Zimetengenezwa South Korea. Mara nyingi hitilafu wala sio treni yenyewe.
 
Ukizingatia awaruhusu msosi, mchana itawakuta hapohapo.

Ndio maana mimi huwa napanda na vitumbua vyangu nakula sina habari na mtu.
Pale walipo ni porini kuna matunda mengi sana wakati huu pamoja na wadudu waliwao. Si vibaya kuishi maisha ya Kihazabe for a day.
 
SGR apewe mwekezajj mzungu ndio itaendeshwa vizuri, serikali ibaki tu kusimamia ubora wa huduma kwa wananchi na prices, but kuendesha huu mradi haiwezi, PERIOD!
 
Acha stori za vijiweni. Treni zinazofanya kazi zote mpya. Zimetengenezwa South Korea. Mara nyingi hitilafu wala sio treni yenyewe.
Zipo baadhi ya treni siyo mpya(brand new) bali ni za mtumba (used or second hand). Hata Rais SSH aliwahi kulizungumzia suala hili na kuuthibitishia umma juu ya uwepo wa suala hili.
 
Zipo baadhi ya treni siyo mpya(brand new) bali ni za mtumba (used or second hand). Hata Rais SSH aliwahi kulizungumzia suala hili na kuuthibitishia umma juu ya uwepo wa suala hili.
Nimeandika ZINAZOTUMIKA SASA HIVI ZOTE NI MPYA. That's a fact. Used yapo mabehewa ya ghorofa vichwa vyake havijafika bado hayatumiki. EMU na hii locomotive ni brand new za SK.
 
Kuna muda matatizo tunayaleta sisi wenyewe wananchi, mara ngapi watu wanakamatwa kwa kuharibu miundombinu ya hiyo SGR, watu wanakamatwa kwa kuiba kopa... Tunajirudisha nyuma wenyewe
 
SGR apewe mwekezajj mzungu ndio itaendeshwa vizuri, serikali ibaki tu kusimamia ubora wa huduma kwa wananchi na prices, but kuendesha huu mradi haiwezi, PERIOD!
Yani tujenge sisi kwa pesa zetu na kutumia wataalamu wetu halafu kuendesha wapese wawekezaji? Walikuwepo wapi hao wawekezaji wakati tunaona fursa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…