reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Yaani kwanza naogopa nashukuru nimepanda nimefika salama tena kwa muda muafaka hapa kurudi Dom tena nawaza mnoo na hyo SGR yao Wallahi...Si walisema SGR ni kama Ikulu umeme wake hauzimi kabisa
Hapo ndio nimechoka mnaposema na air conditioning zikafa na milango haifunguki
Karne hii hawakujua kuwa yanaweza kutokea haya na kuwe na mbadala wa kufungua manually?
Yaani na pumzi hizi siwezi kufa kijinga navunja dirisha au basi sipandi tu